binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,388
- 41,812
Ukifa unakuwaje umepata hasara? ukifa hujui chochote kinachoendelea hivyo hasara haikuhusu, hasara za aliyekufa huwa zinawaangukia waliobaki, katika hii case ni watoto.Hasara kubwa ni kwa mwanamke aliyekwishafariki.
Mwanaume atafunguliwa kesi ya kuua bila kukusudia. Miaka 7 katoka na maisha yanaendelea.
Ni bora upate kifungo kuliko kifo.
PichaNishawahi ishi na mke jeur sana ila mrembo baraa, akishindwa kukuelewa jambo dogo tu matusi yake na maneno atakayosema inakichukua siku nyingi sana kuyasahau. Akianza baba mkwe wake, mama mkwe wake, wifi zake nk lazima watukanwe ( ila sio kwamba wapo hapo mlipo) na we mme utatukanwa sana. Ila sikuwa na tabia ya kurushiana maneno, akianza basi mi nanyamaza, ila nilikuja kuona kunyamaza kwangu huenda aliamini au namwogopa, au anachosema au kunituhum ni kweli kwa kuwa nabaki kimya.
It needs deep calmness, in a long run nikamwambia siwezi kuendelea kuishi na yeye, aliona natania na haitawezekana, alianza tena ku struggle nisifanye hayo maamzi, I was fed up already tuli separate. Hakika huwa nawaza ningekuwa nina react, hadi sasa ningekuwa na kifungo cha maisha. Kupiga hapana, usimpige mke, ila wanawake wapo jeur, wangu alikuwa jeur sana ila maisha aliyo nayo kwa sasa mpaka anajuta kuharibu ndoa yake.
Uongo😂 hata kwenye movie huwa hakuna uongo wa hivi, next time ubalanceIliwahi nitokea..nimerud toka job nikasalimiana na watoto..na mbwa wangu pia..nikauliza watoto mama yenu yuko wapi! Wakajibu ameenda kwa mama Nalieth(jiran)..badae akarud..hakusalimia akaingia ndani .nikamfata nikamsalimia tena akanyamaza. Nikamuuliza kwa nn huitiki salam..bila kutegemea akaniambia malaya zako waite wakusalimie kisha akanitukana tusi kuubwa na akamalizia kutukana kutukana kabila langu..nikamwangaliaa ..akafokaaa kama nusu saa, anatukana tu.
Nikachukua taulo nikaingia bafun..nikiwa bafuni hasira zikanijia..hasira kali .nilipomaliza nikatoka bafuni. Nikavaa..ile hasira niliyokuwa nayo nikasema nikipiga huyu mtu ntamuua .nikawasha gari nikaenda kulala kili golf kwa siku sita ..nilliporejea wala sikusema kitu nikaa kimya..nikalala chumba cha wagen kwa miez mitatu..ndan ni kimya..alikuwa anakuja analia mlangon usiku kucha na kiomba msamaha..ooh mama nalieth alinidanganya mume wangu.. mie wala..niko kimya tu anaomba msamaha mie kimya. Akakondaaa mie wala. Sili chakula chake. Siogi maji yake..najifulia . Najinyoshea..
Siku moja narud toka job ile nimepak akaja akaanguka pemben mwa gari anaomba msamaha. Nikamruka nikaingia ndan..akakaa hapo nje amelala had saa saba usiku..mie wala kimya tu...
Akashitak kwa kaka yangu..kaka yangu akaniuliza..nikajibu muulize yeye...
Aisee nilimpa teso moja matata sana had mda ,majira na wakat mwafaka ulupowadia nikamuita nikamwambia neno moja tu SIPENDI KELELE na usirudie ujinga..had leo ana adabu zote..
Uongo😂 hata kwenye movie huwa hakuna uongo wa hivi, next time ubalance
Sikulazimishi...na wewe sio mimi niliechukua hatua hizo .Uongo😂 hata kwenye movie huwa hakuna uongo wa hivi, next time ubalanc
Kwamba ulimpa mikausho mikali muda wote huo, watoto hawakuona chochote? Yeye hakumshirikisha ndugu wa upande wowote mpaka alipolala pembeni ya gari hadi saa saba, edson edson edson nmekuita mara tatu, hilo gari nishusheSikulazimishi...na wewe sio mimi niliechukua hatua hizo .
Kama sikumsilikiliza kaka yangu mkubwa itakuwa wa upande wake..in life kuna njia mbili za kujifunza .easy way na hard way..na kwa kuwa sina mkono wa kupiga..nikamfundisha kwa njia hiyo ya pili...wewe telemka tu..sipendi kelele nilishasema.Kwamba ulimpa mikausho mikali muda wote huo, watoto hawakuona chochote? Yeye hakumshirikisha ndugu wa upande wowote mpaka alipolala pembeni ya gari hadi saa saba, edson edson edson nmekuita mara tatu, hilo gari nishushe
Ila We jamaa kauzu zaidi ya dagaaIliwahi nitokea..nimerud toka job nikasalimiana na watoto..na mbwa wangu pia..nikauliza watoto mama yenu yuko wapi! Wakajibu ameenda kwa mama Nalieth(jiran)..badae akarud..hakusalimia akaingia ndani .nikamfata nikamsalimia tena akanyamaza. Nikamuuliza kwa nn huitiki salam..bila kutegemea akaniambia malaya zako waite wakusalimie kisha akanitukana tusi kuubwa na akamalizia kutukana kutukana kabila langu..nikamwangaliaa ..akafokaaa kama nusu saa, anatukana tu.
Nikachukua taulo nikaingia bafun..nikiwa bafuni hasira zikanijia..hasira kali .nilipomaliza nikatoka bafuni. Nikavaa..ile hasira niliyokuwa nayo nikasema nikipiga huyu mtu ntamuua .nikawasha gari nikaenda kulala kili golf kwa siku sita ..nilliporejea wala sikusema kitu nikaa kimya..nikalala chumba cha wagen kwa miez mitatu..ndan ni kimya..alikuwa anakuja analia mlangon usiku kucha na kiomba msamaha..ooh mama nalieth alinidanganya mume wangu.. mie wala..niko kimya tu anaomba msamaha mie kimya. Akakondaaa mie wala. Sili chakula chake. Siogi maji yake..najifulia . Najinyoshea..
Siku moja narud toka job ile nimepak akaja akaanguka pemben mwa gari anaomba msamaha. Nikamruka nikaingia ndan..akakaa hapo nje amelala had saa saba usiku..mie wala kimya tu...
Akashitak kwa kaka yangu..kaka yangu akaniuliza..nikajibu muulize yeye...
Aisee nilimpa teso moja matata sana had mda ,majira na wakat mwafaka ulupowadia nikamuita nikamwambia neno moja tu SIPENDI KELELE na usirudie ujinga..had leo ana adabu zote..
Poa nashuka hili gari na nauli yangu chukua, ila kama ni kweli basi una moyo kama wa kwangu, nishafanya tukio ila kwakua nshaomba msamaha kwa Mungu sioni sababu ya kuliweka wazi tena, ila hawa viumbe bila matukio yanayoweka medula yao sawa huwa hawajirudi kabisa big up kwakoKama sikumsilikiliza kaka yangu mkubwa itakuwa wa upande wake..in life kuna njia mbili za kujifunza .easy way na hard way..na kwa kuwa sina mkono wa kupiga..nikamfundisha kwa njia hiyo ya pili...wewe telemka tu..sipendi kelele nilishasema.
Aisee hii torture matata sanaIliwahi nitokea..nimerud toka job nikasalimiana na watoto..na mbwa wangu pia..nikauliza watoto mama yenu yuko wapi! Wakajibu ameenda kwa mama Nalieth(jiran)..badae akarud..hakusalimia akaingia ndani .nikamfata nikamsalimia tena akanyamaza. Nikamuuliza kwa nn huitiki salam..bila kutegemea akaniambia malaya zako waite wakusalimie kisha akanitukana tusi kuubwa na akamalizia kutukana kutukana kabila langu..nikamwangaliaa ..akafokaaa kama nusu saa, anatukana tu.
Nikachukua taulo nikaingia bafun..nikiwa bafuni hasira zikanijia..hasira kali .nilipomaliza nikatoka bafuni. Nikavaa..ile hasira niliyokuwa nayo nikasema nikipiga huyu mtu ntamuua .nikawasha gari nikaenda kulala kili golf kwa siku sita ..nilliporejea wala sikusema kitu nikaa kimya..nikalala chumba cha wagen kwa miez mitatu..ndan ni kimya..alikuwa anakuja analia mlangon usiku kucha na kiomba msamaha..ooh mama nalieth alinidanganya mume wangu.. mie wala..niko kimya tu anaomba msamaha mie kimya. Akakondaaa mie wala. Sili chakula chake. Siogi maji yake..najifulia . Najinyoshea..
Siku moja narud toka job ile nimepak akaja akaanguka pemben mwa gari anaomba msamaha. Nikamruka nikaingia ndan..akakaa hapo nje amelala had saa saba usiku..mie wala kimya tu...
Akashitak kwa kaka yangu..kaka yangu akaniuliza..nikajibu muulize yeye...
Aisee nilimpa teso moja matata sana had mda ,majira na wakat mwafaka ulupowadia nikamuita nikamwambia neno moja tu SIPENDI KELELE na usirudie ujinga..had leo ana adabu zote..
Huko mbali sana.Mitala?.Ya nini?Sawa sawa, dawa kumpandisha cheo tu
Yaani alikuwa anadanganyika na urembo wake au?. Urembo ambao kunyauka ni kugusa tu. Vipi hayo matusi ulimkuta nayo au alijifunzia ndoani?Nishawahi ishi na mke jeur sana ila mrembo baraa, akishindwa kukuelewa jambo dogo tu matusi yake na maneno atakayosema inakichukua siku nyingi sana kuyasahau. Akianza baba mkwe wake, mama mkwe wake, wifi zake nk lazima watukanwe ( ila sio kwamba wapo hapo mlipo) na we mme utatukanwa sana. Ila sikuwa na tabia ya kurushiana maneno, akianza basi mi nanyamaza, ila nilikuja kuona kunyamaza kwangu huenda aliamini au namwogopa, au anachosema au kunituhum ni kweli kwa kuwa nabaki kimya.
It needs deep calmness, in a long run nikamwambia siwezi kuendelea kuishi na yeye, aliona natania na haitawezekana, alianza tena ku struggle nisifanye hayo maamzi, I was fed up already tuli separate. Hakika huwa nawaza ningekuwa nina react, hadi sasa ningekuwa na kifungo cha maisha. Kupiga hapana, usimpige mke, ila wanawake wapo jeur, wangu alikuwa jeur sana ila maisha aliyo nayo kwa sasa mpaka anajuta kuharibu ndoa yake.
Kubishana na mtu ambaye unajua kabisa ni emotional being ni kupoteza muda.Safi sana hawa viumbe ukibishana nao unaweza kufikia hatua mbaya bora umuache uende sehemu ukapunguze stress ukirudi hata uongei nae unaingia kitandani tu
Hata awe chiriku vipi.Nakupa hongera mkuu, hivi ndivyo tunapaswa kuishi na wake zetu, muache aongee, ukikereka toka sehemu punguza mawazo then rudi nyumbani, usiongee kitu, lala hadi kesho uanze upya siku yako. Otherwise kama hivyo umekutana na chiriku utaishia jela!
Hivi introvert ladies na wao wana kidomodomo?Inatakiwa siku zote upafanye nyumbani pawe ni kimbilio la mume wako amalizapo tu mihangaiko yake, sio anapachukia kwa kukumbuka shombo zako, una mdomo unaongeeeeeeeeaaaaaaaaa mpakaaa! Humalizi tu.
Halafu mjue mapungufu ya waume zenu ili iwe rahisi kwenu nyie kutuwin kiwepesi. Hakuna weakness kubwa kwa mwanaume yyt duniani kama ukimjulia namna ya kumpa (nanihiiii) ,huo huwa ni ugonjwa wetu wanaume, sasa nyie huwa mnaweka mazoea badala ya kujua namna ya kutuwin
Wakati mwingine malezi.Kuna malezi ukilelewa tangu utotoni unakuwa konki wa misimamo duniani hakuna.Ila We jamaa kauzu zaidi ya dagaa
Kuna Manunda Tena Anakuongezea Na Maneno juuAdhabu ya kisaikolojia
Eti kwa marehemuHasara kwa nani?
Sikujua kama ana tabia hiyo before, nadhan alificha tabia hiyo kabla ya ndoaYaani alikuwa anadanganyika na urembo wake au?. Urembo ambao kunyauka ni kugusa tu. Vipi hayo matusi ulimkuta nayo au alijifunzia ndoani?
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app