Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,124
- 93,247
Mume akichepuka ujue shida imeanzia kwa mke. Mwanamke mwenye mdomo sana huwa wanaume tuliowengi hatupendezwi nae, lazima mke awe na kiasi.Mwanaume mchepukaji pia sio rahisi kumheshimu.
Kwa asili mwanaume akijaa sumu mwilini kisawasawa mwanamke hana cha kufanya zaidi ya kuumizwa au kuuawaMuone naye huyu. Ulishawahi kupigwa ngumi au kofi la usoni la nguvu? Uliona chupa hapo karibu? [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mume akichepuka ujue shida imeanzia kwa mke. Mwanamke mwenye mdomo sana huwa wanaume tuliowengi hatupendezwi nae, lazima mke awe na kiasi.
Halafu mume anaweza akachepuka pasipo mke kujua chochote na heshima ikawepo kama kawaida ndani ya nyumba
Hivi unajua nyie wanawake huwa kunatokea mwanaume wako maishani kila ukikumbuka anavyokunanili-aga unajikuta unalowana tu, [emoji2] hicho ndiyo kigezo cha mwanamke kwa mujibu wa maelezo ya ke wenzie alivyowahadithia anadai ana uhakika hawezi pata mwanaume wa kumfanya akapagawa kama anavyomganyaga mumewe wa sasa. Ni ndoa yake ya pili hii japo bado umri wa ujana na ako na watoto wawiliDuuuh!! Huo ni ugonjwa wa akili si bure.
Khaaaah!! Hapana kwakweliHivi unajua nyie wanawake huwa kunatokea mwanaume wako maishani kila ukikumbuka anavyokunanili-aga unajikuta unalowana tu, [emoji2] hicho ndiyo kigezo cha mwanamke kwa mujibu wa maelezo ya ke wenzie alivyowahadithia anadai ana uhakika hawezi pata mwanaume wa kumfanya akapagawa kama anavyomganyaga mumewe wa sasa. Ni ndoa yake ya pili hii japo bado umri wa ujana na ako na watoto wawili
Inatakiwa siku zote upafanye nyumbani pawe ni kimbilio la mume wako amalizapo tu mihangaiko yake, sio anapachukia kwa kukumbuka shombo zako, una mdomo unaongeeeeeeeeaaaaaaaaa mpakaaa! Humalizi tu.Hapana, msipende kutubwagia mizigo kwa matatizo yenu. Kuchepuka sio ajali ni maamuzi. You should learn to take responsibility for your actions. Kweli mchepuke msingizie mwanamke ndio shida!! Sasa hapo uanaume wako uko wapi?
Hakuna heshima hapo, iwe inajulikana au haijulikani.
Ndio ya duniani hayo, ujana maji motoKhaaaah!! Hapana kwakweli
Wanawake wana jeuri na dharau sana ..wana maneno ya shombo hata shetan anasubiri sanaa...kuna jamaa hapa pot kamtwanga mkewe hadi kadead juz hapa dar... Mwanamke jeuri sana ..pot wa watu kaamua kumtia makonde hadi kampeleka jehanum....wanawake BADILIKENI kama hamtaki ndoa semeni sio kuleta jeuri na madharau.
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile
Imeandikwa usiueWanawake wana jeuri na dharau sana ..wana maneno ya shombo hata shetan anasubiri sanaa...kuna jamaa hapa pot kamtwanga mkewe hadi kadead juz hapa dar... Mwanamke jeuri sana ..pot wa watu kaamua kumtia makonde hadi kampeleka jehanum....wanawake BADILIKENI kama hamtaki ndoa semeni sio kuleta jeuri na madharau.
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Wewe umefanya nini kuhakikisha nyumbani ni kimbilio lako? Au inatakiwa yeye tu ndio akuhangaikie? Hizo shombo ni dalili za sumu kali alizonazo moyoni. Nawe tafuta wapi panamvuruga upatengeneze sio kukimbilia matatizo mengine.Inatakiwa siku zote upafanye nyumbani pawe ni kimbilio la mume wako amalizapo tu mihangaiko yake, sio anapachukia kwa kukumbuka shombo zako, una mdomo unaongeeeeeeeeaaaaaaaaa mpakaaa! Humalizi tu.
Halafu mjue mapungufu ya waume zenu ili iwe rahisi kwenu nyie kutuwin kiwepesi. Hakuna weakness kubwa kwa mwanaume yyt duniani kama ukimjulia namna ya kumpa (nanihiiii) ,huo huwa ni ugonjwa wetu wanaume, sasa nyie huwa mnaweka mazoea badala ya kujua namna ya kutuwin
Natekeleza majukumu yangu kama baba tekeleza majukumu yako kama mamaWewe umefanya nini kuhakikisha nyumbani ni kimbilio lako? Au inatakiwa yeye tu ndio akuhangaikie? Hizo shombo ni dalili za sumu kali alizonazo moyoni. Nawe tafuta wapi panamvuruga upatengeneze sio kukimbilia matatizo mengine.
Mkoa huo kwa kupigana tu hamjambo kwakweli, kwanza niliambiwa sifa yenu kubwa ya kuheshimika ni kuwa na makovu mwilini. Hata ile kutahiri kwenu ni disasterHuku kwetu tarime-mara mwanamke akimtukana Mme wake kifuatacho ni Kipigo kikali mpaka maji ayaite mma...na hamna kuachana maisha yanasonga
Tekeleza majukumu yako kama mume pia.Natekeleza majukumu yangu kama baba tekeleza majukumu yako kama mama
Nilitoa mfano tu babeNiwakute!
Aaah wewe mifano yako huwa kweli.Nilitoa mfano tu babe
Dini yetu hairuhusu kuachanaUnampigaje mtu mzima, kama mmeshindwa kuishi kwa amani afadhali muachane sio kuuana