Usisahau...... na pia kujifunza mengi. Ndo mana unashauriwa kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni kila unapotoka kwenye mishe zako.Hapo kwenye kunusa ndo...ππ¬!, anyway kuishi kwingi kuona mengi
Hata mm nashangaa.Kwa
Kwamba watu weusi tuna mila za kufanya hayo au una maana gani mkuu !
Mimi mwenyewe sijaelewa au kumjua mchawi lazima nawewe uwe mchawi?Anaroga nini hapo sasa mkuu?
Kweli kabisa kiongozi kunawa muhimu, ila kuna vitu sio vya kunusa nusa hadharani, sasa kweli harufu ya huko chini π₯΄π!Usisahau...... na pia kujifunza mengi. Ndo mana unashauriwa kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni kila unapotoka kwenye mishe zako.
Kunusa ni muhimu ili kubaini uwepo wa harufu mbaya. Harufu hubainika kwa kunusa.
Exactly Dr.Huyo dada ni dhahiri kabisa mgonjwa na akajikuna na akajinusa π€’, sasa kuipeleka akili yako kwenye ushirikina naona wewe pia ni tatizo.
hapo sasaNi masikitiko mkuu, halafu unakutana nae anakusalimia anataka mshikane mikono π₯΄!
ndio mila zenu hizo mkuuKwa
Kwamba watu weusi tuna mila za kufanya hayo au una maana gani mkuu !
Ndio Kwa mwanamke mtu mzima kuingiza mikono direct sehemu za siri na kujikuna huku unaangalia around kuona nani anakuona wakati Kuna watu wanapita njia na wengine wamejaa hapo huoni ni uchizi?Naam! Kunusa ni muhimu ili kubaini kama kuna harufu mbaya. Ni rahisi kuficha uwepo wa fangasi za Perineal area lakini harufu ni lazima uibaini kwa kunusa. Akigundua kuna harufu mbaya (foul smell) ndo anaifubaza harufu hiyo kwa kujipuliza manukato au perfume yoyote kali. Ww unadhani kule ndani ya "vipima joto " au Vipochi vyao hubeba nini?? - Mojawapo ni hizo zana za kujisitiri hivo.
Mwee; yan mtu akijikuna tu, ni upungufu wa akili na ustaarab? Fangas hazina cha akili wala ustaarab - zikiamsha timbwili la kuwasha hata usista wako utausahau na kuanza "kupiga gitaa".
Ni kweli inawezekana nina tatizo pia sikatai kwasababu ni kitu kipya kwangu kuliko kawaida na nilishindwa kuelewa lengo la yeye kufanya hivyo hadharani ndo maana nikahusisha na masuala ya ushirikina. Hata hivyo nimejitahidi kuelewa kutoka kwenye comments zenu, japo kufanya hivyo hadharani ndio bado sielewi, au yeye kufanya hivyo ni kama kupiga chafya tu au kukohoa, haoni soni!Huyo dada ni dhahiri kabisa mgonjwa na akajikuna na akajinusa π€’, sasa kuipeleka akili yako kwenye ushirikina naona wewe pia ni tatizo.
Hapo anajikuna tu na hiyo ni kawaida sana ni vile kaonekana mbona hata sisi kuna muda tunakaguliaga eden yetu inapokuwa inatikiswa na fungus au bacteria. Baba mwenye nyumba nilimuona anakuna kalio tena na macho kafumba kifupi ana enjoy sasa mungemuona Gen Z mungemwanika mzee wa watu hadharani na kumwita mchawi πππOkay, wewe unaona anafanya nini hapo na maana yake ni nini !
Kwani chini ni wapi? Kumbuka haijawekwa wazi kwamba amejikuna wapi. Ila kwa uhakika alikuwa anajikuna Perineal area. Eneo hilo hujumuisha eneo linaloota mavuzi, mlango wa uke hadi eneo karibu na tundu la haja kubwa.Kweli kabisa kiongozi kunawa muhimu, ila kuna vitu sio vya kunusa nusa hadharani, sasa kweli harufu ya huko chini π₯΄π!
Nafikiri umeeleza vizuri zaidi nilichokuwa nawaza π, ni kama hizo fungus zinasingiziwa kwenye hii scene.Ndio Kwa mwanamke mtu mzima kuingiza mikono direct sehemu za siri na kujikuna huku unaangalia around kuona nani anakuona wakati Kuna watu wanapita njia na wengine wamejaa hapo huoni ni uchizi?
Kwanini asingevunga akatafuta choo ama hata eneo la faragha akajikune akimaliza ajifunike nguo zake atoke?
Wewe unaweza simama ndani ya daldala ukafanya hivyo na ukaona ni sawa?
Si heri hata angejikuna juujuu ye anafunua nguo mapaja yote yapo nje anaingiza mkononi deep mtu akikuona atadhania upo sawa?
Soni ameona ndo mana kastuka na kujirudishia/kujiweka sawa alipowaona wapitao.Ni kweli inawezekana nina tatizo pia sikatai kwasababu ni kitu kipya kwangu kuliko kawaida na nilishindwa kuelewa lengo la yeye kufanya hivyo hadharani ndo maana nikahusisha na masuala ya ushirikina. Hata hivyo nimejitahidi kuelewa kutoka kwenye comments zenu, japo kufanya hivyo hadharani ndio bado sielewi, au yeye kufanya hivyo ni kama kupiga chafya tu au kukohoa, haoni soni!
Comment #70 ya Sister Abigail ndo shida yangu kubwa ilipoKwani chini ni wapi? Kumbuka haijawekwa wazi kwamba amejikuna wapi. Ila kwa uhakika alikuwa anajikuna Perineal area. Eneo hilo hujumuisha eneo linaloota mavuzi, mlango wa uke hadi eneo karibu na tundu la haja kubwa.
Endapo eneo hilo likipata uambukizo wa Fungus e.g. Tinea cruris au candida yeast; huna ujanja mwanangu -lazima utajikuna tuu. Sasa hao fangas husababisha harufu mbaya. Utajuaje kama kuna harufu mbaya kama sio kwa kunusa?
Na hata kama ni fungus sio kitu kizuriNafikiri umeeleza vizuri zaidi nilichokuwa nawaza π, ni kama hizo fungus zinasingiziwa kwenye hii scene.
Yaani! πNi masikitiko mkuu, halafu unakutana nae anakusalimia anataka mshikane mikono π₯΄!