Wanawake acheni ushirikina!

Hizo ni Fangasi sio ushirikina.
 
Bila hayo wengi wanahisi mambo Yao hayaendi!

Kuna kipindi nilipata changamoto kwenye site yangu ya mia mia miambili!nikapelekwa location na jamaa mmoja!tukaaguliwa palee!

Sasa wakati tumesharudi ,yule jamaa alienipeleka akaitwa na mama watoto na kuchimbwa biti "eti kama una njaa,useme niwe nakupa chakula ,lakini wewe sitaki kukuona upon karibu na baba watoto wangu!hasa mnayoyafanya sitaki muende huko"

Nilikuja kujua baadae kumbe mama watoto aliogopa nitajua baadhi ya sarakasi zake!!

Haya maisha ni zaidi ya uyaonavyo,sarakasi zinapigwa mno na kina mama ukija gundua tayari ushaumia!
 
Inafikirisha sana mkuu, sasa kwanini asitafute faragha kidogo na kwanini ajinuse baada ya kumaliza kujikuna!
Fangasi husababisha muwasho na kutoa maji-maji eneo lenye uambukizo. Majimaji hayo kuweza kusababisha harufu mbaya esp. yakichanganyika na jasho na bila kukaushwa. Muathrika hapo ananusa ili kubaini kama kuna kadhia ya harufu mbaya ili akarekebishe mambo kabla ya kutokea kwenye kadamnasi.
 
Bado najiuliza kama anafahamu kuwa ana hilo tatizo kwanini asingetafuta walau sehemu yenye washroom akaenda huko, kuliko kukaa hapo njiani!
 
Bado najiuliza kama anafahamu kuwa ana hilo tatizo kwanini asingetafuta walau sehemu yenye washroom akaenda huko, kuliko kukaa hapo njiani!
Sio kila wakati njiani kuna watu na pia sio kila sehemu unaweza kupata mahali pa faragha e.g washroom. Huko mjini inawezekana lakini kwa ss huku vijijini (including subcentres kama hapo ktk clip) hazipo. Si umeona hata hao wapitaji hawajashtuka kwa namna yoyote?Huku ni jambo la kawaida sana sio ushirikina.
 
anadumisha mila za mtu mweusi
 
Sio sawa kabisa
Ni upungufu wa akili na ustaarab
Mbaya zaidi ananusa
Naam! Kunusa ni muhimu ili kubaini kama kuna harufu mbaya. Ni rahisi kuficha uwepo wa fangasi za Perineal area lakini harufu ni lazima uibaini kwa kunusa. Akigundua kuna harufu mbaya (foul smell) ndo anaifubaza harufu hiyo kwa kujipuliza manukato au perfume yoyote kali. Ww unadhani kule ndani ya "vipima joto " au Vipochi vyao hubeba nini?? - Mojawapo ni hizo zana za kujisitiri hivo.
Mwee; yan mtu akijikuna tu, ni upungufu wa akili na ustaarab? Fangas hazina cha akili wala ustaarab - zikiamsha timbwili la kuwasha hata usista wako utausahau na kuanza "kupiga gitaa".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…