Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,917
- 2,057
wakuu jamaa hapa kaja kuomba ushauli na sidhani kama analalamika, but wadada bhana hata hawafikilii kidogo kama wao wako wengii hata wanaume wakiamua kugawana wanawake wawili wawili still watabaki tu
Mkuu cha msingi mi nakushaurii we mtafute best yake au rafiki yake kabisa then tongozaa huyoo mi nahsi kidogo maumivu kiasi chake na atatafuta njia ya kuomba msamaha [emoji15] [emoji15]
*simba kala simba hiyoo
huyo dawa yake ni moja tafuta pesa uwezavyo kwa sasa tulia, ujijenge zaidi trust me kuna siku atakutafuta sasa hivi anaangaika na boss wakeThanks!
Kangeuka tu ila haina mbaya namuombea mema.
Poa poa Mkuu.wakuu jamaa hapa kaja kuomba ushauli na sidhani kama analalamika, but wadada bhana hata hawafikilii kidogo kama wao wako wengii hata wanaume wakiamua kugawana wanawake wawili wawili still watabaki tu
Mkuu cha msingi mi nakushaurii we mtafute best yake au rafiki yake kabisa then tongozaa huyoo mi nahsi kidogo maumivu kiasi chake na atatafuta njia ya kuombas
*simba kala simba hiyoo
Siyo kukurupuka mkuu.Mnakurupuka sana ninyi vijana wa siku hiz
Inapaswa angalau ujue saikologia ya mwanamke usipojua yatakayokupata utalia sana na unaweza kujiua kwa ujinga.
Kwanza elewa mwanamke anaendeshwa na tamaa hivo kutamani kwake hubadilika kila mara kutokana na hormones zake zinavobadilika kwa sabab hiyo usimpende mwanamke kwa moyo wako
Unapofanya jambo kwa mwanamke hesabu ni sadaka wala hutaumia.
Usimfanyie jambo ukatamn kulipwa ujue wanawake wanamtu wa kumuoa anamtu ATM. Anamtu wa out
Wewe ulikuwa ATM kazi yako imeisha
Ukiwa na mawazo hayo maana yake hujakurupuka na sasa huwezi huzunika sana baada ya kuwekwa benchSiyo kukurupuka mkuu.
Moyo wa mtu kichaka mkuu.
Huwezi jua aliwazalo.
Maumivu hutegemea mtu na mtu Mkuu.Ukiwa na mawazo hayo maana yake hujakurupuka na sasa huwezi huzunika sana baada ya kuwekwa bench
Ila ukiumia mpaka dededede
Bas wewe ulikurupuka
Utakuwa kwenye moja kati ya wanne tanzania[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maumivu hutegemea mtu na mtu Mkuu.
Kwa uzoefu nilionao siwezi kuumia kihivyo ila namhurumia sana.
Maana kwa style hiyo sehemu zake za siri zitachakazwa sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Una miaka mingapi Mkuu?
Kizazi hiki huwezi tongoza/tongozwa kwa miezi 6-12 maana vyakula wanavyokula hawa vijana vinatia nyege sana.