Basi,pole.Habari ndugu zangu
Nakumbuka ilikuwa 2019 wakati natafuta mwanamke wakuingia nae kwenye mahusiano ya mapenzi nilikutana na manzi mmoja kwenye daladala nikamuomba number ya simu akanipa nikawa nachart naye sana baada ya kupita kama wiki mbili nikaomba meet demu akakubali ila akaniomba nimpe hela ya nauli yakuja nikampa 5k
π€£π€£π€£π€£Vipi ulikula mbususu?Habari ndugu zangu
Nakumbuka ilikuwa 2019 wakati natafuta mwanamke wakuingia nae kwenye mahusiano ya mapenzi nilikutana na manzi mmoja kwenye daladala nikamuomba number ya simu akanipa nikawa nachart naye sana baada ya kupita kama wiki mbili nikaomba meet demu akakubali ila akaniomba nimpe
Wako wapi mbona siwaoniSiyo wanawake wote Wana tabia km za Malaya uliyekutana nae mkuu,wife material wapo wengi Tu mbona
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waawake pia sio wajinga...unakuta alikusoma tu kuanzia uandikaji wako wa texts hapa hakuna future...
Kwanini asijilie vya Bure?
Sasa nawe vocha ni kitu cha kukukimbiza???MI NIKIMTONGOZA MWANAMKE AKINIOMBA HATA HELA YA VOCHA MWANZONI TU NAJUA HAKUNA MWANAMKE PALE ILA MALAYA[emoji16]
Bora umueleze huyu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siyo wanawake wote Wana tabia km za Malaya uliyekutana nae mkuu,wife material wapo wengi Tu mbona
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa nawe vocha ni kitu cha kukukimbiza???
Unajua nacheka hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo huku VeyulaWako wapi mbona siwaoni
Umenena vyema.We tulia ulikutana na jini maimuna, likajaribu kukufyonza damu.
Hizi kelele za mtandaoni haziwezi kuwarudisha kundini wale walioharibika, we saka aliyetulia jitulize nae.
Kuna wanawake wabovu na swaaafi.
Kuna wanaume miyeyusho na swafi.
π π πSasa nawe vocha ni kitu cha kukukimbiza???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa km yeye uwezo wake jero, lazima akimbie tyuuu.Unajua nacheka hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vocha!!!!! Ukute ni vocha buku[emoji23]
HahahahahaDuh we jamaa unatuma hela mapema sana kabla hata ya kujuana na mtu duh, aisee we kiboko, madanga mengi mjini ndivyo yalivyo pesa mbele , usishangae hata siku moja akakutumia message kuwa amekufa wakati yeye ndio anakutumia ujumbe. Hawa viumbe ni shida sana.