Wanawake acheni kuvaa mawigi

Hahaha. Mchungaji uko vizuri.
 
Ukimwona mwanamke kavaa wigi basi jua anajaribu kufcha bichwa lake baya, mostly yanakuaga matofali/muundo flani hivi wa tren amaaaaiiiziiiing
 
Kwani wewe unavaaga mpk ukatae hizo sababu?
unajua kuna watu wanatibiwa kansa nywele zinaisha wanavaa wigs...?

nimejibu kutokana na Sababu Za Bibie.. Zipo Njia mbadala Za kutatua hilo la nywele kuisha lakini sio kuvaa mawig yenu ambayo yananitia kinyaa na Kichefuchefu.. Wengine mnakaa nayo Hata Wiki nne sasa si matatizo hayo
 
Kumbe muhimbili wanahangaika hizo scanner wakati wangekuchukua wewe ukascan vichwa huko, unaona jipu kichwani kwa mtu akiwa kilometa kibao.

Aliyekwambia huko Muhimbili wanatafuta vijipu vichwani ni nani?
 
Wewe unawafuata wa nini kama unaogopa pumu (asthma) ? Unanusa nusa za nini?
Tafuta team natural wako basi unatulia.

We pesa ndogo hata utake milioni na wigi la laki au weaving ya billion na Kwa taarifa yako huwa cwafuati tunakaa nao kwenye dala dala hiyo unpleasant smell nimbaya sana natural hair for the best stylish girls cyo unanukanuka kaa bi kizeee
 
sema huna hela ya kumpa mkeo akanunue alafu una kitambi
TOA KWANZA HUO MTAMBI NDO TUONGEE KUHUSU MAWIG
 
hahahaaaaa
 
Wewe nani uwape amri kutovaa wigi? Labda uongee na rais atangaze NO Wigs, nje ya hapo unajipa presha bure kwa mambo yasiyokuhusu. Ila kwa habari ya mkeo muombe asiweke hizo nywele

Rais atangaze "No wigs" kwa minajili gani?

Rais ni mtunga sheria?

Au ni udikteta tu kwa kwenda mbele?
 
Ukishauliza sababu za kuzivaa na ukapata majibu yake inakuwa ni rahisi kuconclude kuwa kuna kutokujitambua kwa pande zote zinazohusika

We nae nimegundua hata hujitambui basi, ila umejificha nyuma ya hii compaign basi tu yani.

Haya kampeni njema ukifanikiwa urudishe mrejesho nifunge duka.
 
Kama ningepata mamlaka, ningepiga marufuku wanawake kulazimisha urembo kwa nywele za marehemu(mawigi) maana wengne wanayavaa mpk yanaanza kutoa harufu
 
sema huna hela ya kumpa mkeo akanunue alafu una kitambi
TOA KWANZA HUO MTAMBI NDO TUONGEE KUHUSU MAWIG

Hamjiamini kabisa kama unakichwa kibaya tafuta bwana handsome update breed tofauti
 
Attachments

  • 1448199649684.jpg
    4.3 KB · Views: 198
We nae nimegundua hata hujitambui basi, ila umejificha nyuma ya hii compaign basi tu yani.

Haya kampeni njema ukifanikiwa urudishe mrejesho nifunge duka.

Haha tulia Atoto. Hii vita ni kubwa sana. Tukimaliza hapa, tunaelekea kwenye filters na make up. Mngetuacha na vitambi vyetu, tusingefika huku.
 
We nae nimegundua hata hujitambui basi, ila umejificha nyuma ya hii compaign basi tu yani.

Haya kampeni njema ukifanikiwa urudishe mrejesho nifunge duka.

Wewe ndo hujitambui maana umeshindwa kumtambua anayejitambua.

Muitikio unauona mwenyewe, watu wengi wanashiriki positively kwenye hii campaign, mda si mrefu biashara yako itaanza kudoda.
 
cha ajabu sasa ulimtongoza akiwa na wig lake
 
wanaume nyie hamueleweki hata kidogo,utasema natural hair akipita aliyevaa wig macho yanakutoka kama unataka kukata roho.hebu mutuwache
 
Haha tulia Atoto. Hii vita ni kubwa sana. Tukimaliza hapa, tunaelekea kwenye filters na make up. Mngetuacha na vitambi vyetu, tusingefika huku.

Uwiiiiii!! Vitambi ni janga hujui tu, nawashangaa mnavyovitetea, na bahati nzuri zile hata doctors wanaviongelea, hii ya wigs sijui make ups ishasemwa sana humu jf ujue, nilitegemea mngekuja na mrejesho sasa kuwa mmefanikiwa kwa kiasi gani, maana biashara ndio inapamba moto.
 
Wewe ndo hujitambui maana umeshindwa kumtambua anayejitambua.

Muitikio unauona mwenyewe, watu wengi wanashiriki positively kwenye hii campaign, mda si mrefu biashara yako itaanza kudoda.

Uwiii tokea mmeanza kusema yaani biashara ndio inapamba moto, maana hamjaanza leo ujue, unadhani nakushangaa ukisema hivyo basi, mayb angesema mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…