Vitabu vya Mungu vina kataza kumkosoa Mungu na kuvaa vitu haramu ndio maana miongoni mwa vitu haramu ni Mawigi kwa kigezo cha fashion wanawake wengi wameruhusu mapepo kufanya makao ktk milli yao mfano. Nenda wanakofanya maombezi ktk mikutano utaona Wanawake wengi ndio WENYE MAPEPO tatizo liko hapa ktk mapambo na fashion.
Kama mwanaume hana nia ya kumuoa mtu hata utoe wigi hakuoi, usitudanganye hapa. Hao wanaume wengi mbona wanawaacha dada zao wavae/wasuke ni kwamba hawataki dada zao waolewe! ! Nadhani muanze kuwashauri mnao onana nao, huku mtandaoni hatujali.
Kumbe hili pia lipo kiimani zaidi?
Ulikuwa haujui, kumkosoa Mungu nikitu kizito sana ndio maana shetani kwakujua wanawake wanapenda kujibadilisha badilisha na kuiga fashion zisizo faa kuna roho chafu zina waingia wanawake bila wao kujua.
Huna hela ya weaving original hafu acha kujitekenya ndo mini kujihangaisha na ....... Nyingi hapa jukwaani.
Wewe Team Mawigi tulia acha kupanic, umejuaje hana hela? Wewe kama unaficha milima na mabonde kichwani tambua kuwa wapo wenzako wana vichwa na nywele zao nzuri
Ukute hela ya wigi tu ni mpaka idundulizwe kwa wanaume ambao hata hivyo hawavutiwi nazo
ha ha haha wote wanawake hata wenye nywele ndefu huwa wanavaa mawigi pia.......
Vitabu vya Mungu vina kataza kumkosoa Mungu na kuvaa vitu haramu ndio maana miongoni mwa vitu haramu ni Mawigi kwa kigezo cha fashion wanawake wengi wameruhusu mapepo kufanya makao ktk milli yao mfano. Nenda wanakofanya maombezi ktk mikutano utaona Wanawake wengi ndio WENYE MAPEPO tatizo liko hapa ktk mapambo na fashion.
Usiseme wote, wewe huwa unavaa
mi nilichukuaga maamuzi magumu ya kunyoa.nilichoka kunuka nywele changanya na joto ni shiida.sasa hivi nipo na kipilipili changu safi
Watakuja mbio hapa kukudis
Say NO to Fake Hair ili kuepukana na mapepo
kweli wanaume hawapendi ufake,toka nimeamua kua natural kwa kila kitu ni shiiida kwa wakaka,wananikubali sn na kipilipili changu
Ukweli ni ukweli tuuu hata waje kama mvua ya radi. Wewe jiulize kwann wanawake wengi wanasumbuliwa na mapepo kuliko wanaume NI KUENDEKEZA VITU WANAVYO VIITA UREMBO kumbe kuna Wigi zingine Wahindu kwao ni IBADA nenda Google ukatafute UTAONA.