Wanawake acheni kupiga 'passport size'

Wanawake acheni kupiga 'passport size'

Utakua unabeba wanaume wasiojielewa ndo maana unakutana na minuko..jaribu kubadilisha smhw
 
That's so sweet..thank uuu
Ndio maana mm nlikwambia mwanamke wangu akiibiwa basi mwnyw kapenda ila sio mm nlishindwa majukumu yangu....kuna watu wengine tu wanakuwaga hawaeleweki nn wataka kwny maisha
 
na tunanuka haswaa...duu.Shame on us!!! turudi kutunza tu nywele zetu asilia...maana khaaa
 
Muwe mnatoa na hela za salon ....sio kulalama tu kila siku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom