Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,040
- 126,056
Rafiki ni ngumu ujue kumpa ushauri nasaha mana ninaokutana nao walio wengi ni kwenye usafiri wa umma na unakuta hata hatufahamiani. [emoji2]Na hata hao baadhi kuna mambo yanachangia wawe hivyo, mkikutana nao mnawasaidia tu hata kwa ushauri na saha..🙄
Hivyo naishia tu kuwaangalia na kushangaa kulikoni.