Wanawake acheni kupiga 'passport size'

Wanawake acheni kupiga 'passport size'

Hili ni janga, unakuta dada yuko sexy kinoma afu ukimsogelea akikupa mgongo utakohoa mpaka.

Jamani dada zangu kwanini huwa hamnawi vichwani? Dah!
 
wahurumieni na muishi nao kama watoto tena kwa akili, imagine wahenga walisema akili ni nywele lakini wanapotosha ukweli na kutuaminisha kuwa akili ni wigi kila mwanamke ana lake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom