Wanawake acheni kupiga 'passport size'

Wanawake acheni kupiga 'passport size'

Niende kwenye mada ni hiv hawa dada zetu wanao vaa mawigi na wanao suka ebhana ni wa chafu balaa yani ukinusa mawigi au misuko yao yananuka balaa sababu hawanawi maji kichwani wanaishia shingoni tu kwahyo dada zangu badilikeni ogeni mwili mzima mnatuboa bhana
Ushauri muhimu huu, washaurike tu la sivyo tutakuwa tunachukua wanyoa upara tu sahv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpka unafika kichwani kwa mpenzi wako kunusa inakuwaje jaman dooh pole mkuu ndio uwe unampa hela za kuosha wig usikute hata mia humpi afanye nini sasa dada wa watu
 
Niende kwenye mada ni hiv hawa dada zetu wanao vaa mawigi na wanao suka ebhana ni wa chafu balaa yani ukinusa mawigi au misuko yao yananuka balaa sababu hawanawi maji kichwani wanaishia shingoni tu kwahyo dada zangu badilikeni ogeni mwili mzima mnatuboa bhana
Na nyie badilikeni mnakojoa hadharani km mbuzi , bila kuchamba mnanukaa Pumb*******
 
IMG_20170625_160238_938.jpg
 
Mpka unafika kichwani kwa mpenzi wako kunusa inakuwaje jaman dooh pole mkuu ndio uwe unampa hela za kuosha wig usikute hata mia humpi afanye nini sasa dada wa watu
Wavaa mawigi nimewajua
 
Tatizo wadada hata ukiwapa hela ya saloon huwa hawaendi saa nyingine
 
Umesema kweli kabisa mkuu ila ni kwa baadhi ya wanawake na sio wote. Na ukikutana na hao baadhi unaweza kutapika mana unakuwa uvundo kweli.

Na hata hao baadhi kuna mambo yanachangia wawe hivyo, mkikutana nao mnawasaidia tu hata kwa ushauri na saha..🙄
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom