Hivi...ni kweli kwamba hawaolewi?We jamaa umeua kabisa hata mimi nilishawahi kufanya kautafiti uchwara.Yan wadada wengi wa siku hizi ukishapiga sound tuu utasikia utanipa shilingi ngap? Nikahamia kama kwa masingle mother watatu hivi nikawa nawafanyia kautafiti uchwara bila hao kujua lakini nikaobserve mwendo ni ule ule wa utanipa shilingi ngap ? Au anakubali kabisa lakini hivyo vibom sasa utakimbia mwenyewe.Nikasema hawa wenzetu wa upande wa pili wasipojitambua watateseka sana kwa mwendo huo. Ajabu wengine nikawa nawauliza vipi kwa nini wanapenda hela huyo mmoja akaniambia atakaaje na mwanaume ambaye hana hela alafu ukicheki ni single mother nikamuambia usikute hiyo ndo sababu ya bwana ako kukutimua sikutaka kumuhoji sana. Kwa kifupi wanaume waoaji wapo kama Dada zetu wakibadilika.
TehAre no go easy ooooo....
Mkuu upo,kitambo sijakuona humu.[emoji23][emoji23][emoji23]ogaa jamaa kazingua hapo tuu kwenye wingi ila huko kwingine poa acha atuchane tuu kwani shin'gapii[emoji1]
Nipo mkuu,tunanyapianyapia,.kwemaaMkuu upo,kitambo sijakuona humu.
Ha ha ha kweli nimekubali mkuu, cha msingi na muhimu ni uzima na afya njema.Nipo mkuu,tunanyapianyapia,.kwemaa
Kabisaaa kabisaaa mkuu,..Ha ha ha kweli nimekubali mkuu, cha msingi na muhimu ni uzima na afya njema.
Kwani uongo?[emoji23][emoji23][emoji23]ogaa jamaa kazingua hapo tuu kwenye wingi ila huko kwingine poa acha atuchane tuu kwani shin'gapii[emoji1]
Wanaenda kutushitaki kwa Mkuu Wa Mkoa Paulo Makonda. Sababu hatuwaoiKutwa mnashinda kwa waganga, mmechanjwa chale hadi makalioni, yote hiyo eti mnataka kuolewa.
Wengi wenu na urembo wenu mnapigwa mimba na kisha kupigwa chini, halafu mnaanza kulalamika eti mna mikosi, hakuna cha mkosi wala nini mko fiti sana.
Tatizo mmekuwa wengi hadi kero, halafu mbaya sana mnashindana kukuza makalio na kukoboa ma uso yenu, yote hii mpate waume, mnaharibu hadi urembo wenu wa asili uliotukuka ambao Mungu amewapa.
Mbaya zaidi hadi papuchi mnaziwekea vionjo eti ili zibane muonekane ni mnato, yote hii ili mpate waume.
Mimi leo nawaeleza ukweli kabisa, maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu, wanaume sasa hivi wapo bize kutafuta pesa, halafu wakipata hamu ya mapenzi wanaenda kununua tu, kwa sababu nyie wenyewe ndo mmefanya hadhi yenu ipungue sana kwa kujiuza.
Laiti kama mngekuwa baadhi yenu hamjiuzi, hakyanani walahi mngekuwa na thamani kuliko pesa na dhahabu.
Tatizo mmekinukisha wenyewe, kwanini ujiuze? Umekuwa samaki wewe? Binadamu ana hadhi yake bana.
Unakuta mwanamke ukimsemesha tu, tayari anakuuliza "utanipa sh ngapi tutoke wote?" Ndo maana wanaume wengi wanawachukilia wanawake wengi ni malaya wakati si kweli.
Sasa ndo hivyo hatutaki kuoa ndo maana mnafikisha hadi miaka 35 bila ndoa na kingine punguzeni dharau mkitongozwa muwe mnawahi kukubali siyo kujishebedua wakati mnaolilia ndoa mko wengi.
Kama hamjaridhika na hali iliyopo andamaneni.
Iyo ni kweli mkuu!kwa sahivi ukiskia mwanaume ameoa lazma awe kichaa
Umesahau, wanawake wengi ni wateja wakubwa Wa waganga wa kienyeji. Wanawake/wasichana asilimia kubwa ni wachawi sana. Ndio maana tunawaogopa wanawake watu wa mizizi sanaYani hapo kwenye kujichubua pamewagharimu wanawake wengi mno, mwanamke akishajichubua tu wanaume humchukulia kama malaya, umkute tena na manywele bandia, makope bandia, malipshine, mawanja, makucha bandia hamu yote inapotea, huwezi fikiriwa kuolewa kamwe maana mwanaume anakuona kuwa umepitia mengi/kwingi mpaka kufikia hali hiyo.
Hajielewii.Ni kumsameheeeEti tumekuwa wengii,ndugu zako wa kike nao pia wameongeza uwingi huo ujue...