Wanawake acheni kuhangaika hatutaki tena kuoa

Mwanaume asiyejielewa ndo atatoa povu kama hili...
Unatafuta wadada wa mjini, slay queen utaacha kupigwa vibomu? Mdada anajichubua, anaongeza kalio anashinda mitandaoni, hana kazi, ataachaje kukupiga kibomu wakati ndo kazi yake?

Uwingi wa wanawake sio kigezo cha kuwadharau na kuwaona wanajiuza, japo wanaojiuza wapo lkn sio wote, je mama ako nyumbani anajiuza? Dada yako je? Shangazi yako, mama mdogo wako? Au hao sio wanawake?

Ukitongoza na kukubaliwa mara moja, mnasema wanawake wanajirahisi, ukizungushwa ooh, mnaringa cjui mapozi, sasa kipi bora kwenu?

Mkuu kama huna mpango wa kuoa ni wewe na sio kujumuisha wanaume wote, bado tunaalikwa lika leo kwny harusi za wanaojielewa, wewe endelea kulalama....
 
kwa sahivi ukiskia mwanaume ameoa lazma awe kichaa
 
Mbona ulivyoandika umekuwa nusu mwanaume nusu fulsa sawa kwa wote...
 
Basi unakoishi inawezekana wanaume vichaa ni wengi sana kisa ndoa
sio wengi maana asilimia kubwa wameoa zamani(wahenga)..kwasahivi ndoa nikujiongezea stress tu ndio maana nakwambia lazma uwe kichaa(kichaa huelewana vizuri na kichaa mwenzake)
 
Hapo umeeleweka... Kumbe na mwanamke kuolewa lazima awe kichaa pia
 
Back
Top Bottom