Wanawake acheni kuhangaika hatutaki tena kuoa

Wanawake acheni kuhangaika hatutaki tena kuoa

Shida ni wewe wanawake wa aina ipi unakuwa nao karibu. Kwa mujibu ya maelezo yako inaonyesha una ukaribu sana na wauza k.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ogaa jamaa kazingua hapo tuu kwenye wingi ila huko kwingine poa acha atuchane tuu kwani shin'gapii[emoji1]
Yeah he could just say other things kama kuonba hela, kuringa etc
Badala ya kufikisga ujumbe he was just vexing, people are no go easy on him o!
 
Mwanaume asiyejielewa ndo atatoa povu kama hili...
Unatafuta wadada wa mjini, slay queen utaacha kupigwa vibomu? Mdada anajichubua, anaongeza kalio anashinda mitandaoni, hana kazi, ataachaje kukupiga kibomu wakati ndo kazi yake?

Uwingi wa wanawake sio kigezo cha kuwadharau na kuwaona wanajiuza, japo wanaojiuza wapo lkn sio wote, je mama ako nyumbani anajiuza? Dada yako je? Shangazi yako, mama mdogo wako? Au hao sio wanawake?

Ukitongoza na kukubaliwa mara moja, mnasema wanawake wanajirahisi, ukizungushwa ooh, mnaringa cjui mapozi, sasa kipi bora kwenu?

Mkuu kama huna mpango wa kuoa ni wewe na sio kujumuisha wanaume wote, bado tunaalikwa lika leo kwny harusi za wanaojielewa, wewe endelea kulalama....
Mwambie huyo
 
Yani hapo kwenye kujichubua pamewagharimu wanawake wengi mno, mwanamke akishajichubua tu wanaume humchukulia kama malaya, umkute tena na manywele bandia, makope bandia, malipshine, mawanja, makucha bandia hamu yote inapotea, huwezi fikiriwa kuolewa kamwe maana mwanaume anakuona kuwa umepitia mengi/kwingi mpaka kufikia hali hiyo.
 
Kutwa mnashinda kwa waganga,mmechanjwa chale hadi matakoni,yote hiyo eti mnataka kuolewa.
Wengi wenu na urembo wenu mnapigwa mimba na kisha kupigwa chini,halafu mnaanza kulalamika eti mna mikosi,hakuna cha mkosi wala nini mko fiti sana.
Tatizo mmekuwa wengi hadi kero,halafu mbaya sana mnashindana kukuza makalio na kukoboa ma uso yenu,yote hii mpate waume,mnaharibu hadi urembo wenu wa asili uliotukuka ambao Mungu amewapa.
Mbaya zaidi hadi papuchi mnaziwekea vionjo eti ili zibane muonekane ni mnato,yote hii ili mpate waume.
Mimi leo nawaeleza ukweli kabisa,maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu,wanaume sasa hivi wapo bize kutafuta pesa,halafu wakipata hamu ya mapenzi wanaenda kununua tu,kwa sababu nyie wenyewe ndo mmefanya hadhi yenu ipungue sana kwa kujiuza.
Laiti kama mngekuwa baadhi yenu hamjiuzi ,hakyanani walahi mngekuwa na thamani kuliko pesa na dhahabu.
Tatizo mmekinukisha wenyewe,kwanini ujiuze? Umekuwa samaki wewe?binadamu ana hadhi yake bana.
Unakuta mwanamke ukimsemesha tu,tayari anakuuliza "utanipa sh ngapi tutoke wote?" Ndo maana wanaume wengi wanawachukilia wanawake wengi ni malaya wakati si kweli.
Sasa ndo hivyo hatutaki kuoa ndo maana mnafikisha hadi miaka 35 bila ndoa ,na kingine punguzeni dharau mkitongozwa muwe mnawahi kukubali siyo kujishebedua wakati mnaolilia ndoa mko wengi.
Kama hamjaridhika na hali iliyopo andamaneni kudadadeki.

"TATIZO MMEKUWA WENGI HADI KERO" - HII NI KUFURU, UNAMKUFURU MUNGU, SI KOSA LAO KUWA WENGI, NI KOSA LA NANI? WAO WAMEKUTA WAMEZALIWA
 
Mmh. Sasa hii ni mipasho ama.

Jifunze kuandika kwa kituo siku nyingine sababu si kwa papara ulizonazo pia nikwambie tu usipotaka kuoa wewe wapo wenzio wameshachumbia huko na harusi zipo njiani.
 
Mkuu hapo kuhusu kuwa wengi ni wao wanajitakia ama ni uumbaji wa Mungu na makusudi yake?
Huoni kama unamkosoa Muumba?

Siku nyingine usubiri ikauke ndio uvute.
Umeona rafiki na ikifikia hatua hii ndio huwa nashindwa kuwashangaa baadhi ya wanaume kwa kweli.

Usikute hata hajarudia kusoma alichoandika akajua nini amemaanisha yeye kakimbilia tu kupost.
 
Back
Top Bottom