Kelele ndio utamu wenyewe, yaani ile sauti unayoisikia sio wizi kama unavyo dai ndio anakuwa anaisikilizia hahaaaa, utamu huo hupendi?
Kweli nimemini kuwa tunafanya tofauti kwa sababu tuko tofauti,Binafsi napenda demu anayepiga kelele kunako majambozi unapoendesha gari ni vizuri litoe sauti.
tofautisha miguno ya kawaida na kelele nazozungumzia.ni aibu hata kutoka nje afu nyumba zenyewe za kupanga.
tofautisha miguno ya kawaida na kelele nazozungumzia.ni aibu hata kutoka nje afu nyumba zenyewe za kupanga.
kelele zingine sio unalazimika kufungulia sabufa hata kama ni usiku..mtu ana makelele mpaka walio nje wanapata aibu wanakaa mbali kabisa
Mi nahisi atakuwa anamkuna vilivyo.ulishawai kumuuliza kwa nn anapiga kelele lkn?
Wengi ninaokutana nao ktk majamboz hupiga makelele. Siyapendi hata kidogo kwani naona aibu kwa majirani, nimewaomba wapeni zangu wapunguze au waache kabisa lakn hawasikii.
wapenzi zako?mku unao wangapi...au ndo unafanya kwamba sensa inaonesha kwamba wanawake ni wengi ndio maana unachukua more than one .
Wengi ninaokutana nao ktk majamboz hupiga makelele. Siyapendi hata kidogo kwani naona aibu kwa majirani, nimewaomba wapeni zangu wapunguze au waache kabisa lakn hawasikii.
hahaha usikute anaumia unasema anainjoiMi nahisi atakuwa anamkuna vilivyo.