View attachment 3451214View attachment 3451215View attachment 3451216
Wanavyokunjaga sura na kujifanya wababe na wajuzi huwezi amini wajinga wajinga CCM wanawapelekesha kama mazuzu. Huwezi amini CCM wanawaona kama matoy tu yasiyo na chochote wala lolote.
Yaaani hawa nao Oktoba wanapigishwa mistari kutiki wakati CCM, Tume na NIDA walishaamua kura ziweje na ushindi kwa CCM uweje
Acha wenye akili tupambane na No Reforms No Elections✊️✌️