Wanavyo chezewa akili zao

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,431
2,000
SAUD ARABIA & QATAR.jpg
 
ananijua

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
241
225
Kaka huwezi kuijua Saudia kama huujui uislamu...Uhalisia wa nchi za kiislamu hasa za kiarabu na magharibi huwezi kuujua kupitia katuni,kupitia vyombo vya habari,kupitia siasa za kidemokrasia.

Na hakuna nchi ya magharibi inayoweza kuichezea akili nchi saudia.Naijua saudi kwa mizani ya kielimu.Mnaochezewa akili ni nyie msioujua uislamu na nchi ya Saudia.

Ushawahi kusikia vita vikipiganwa nchini Saudia ? Ukipata jibu usisite kuniambia....
 
Usilete Udini kama wewe ni Muislam mimi pia ni Muislam . Saudi Arabia ni kibaraka mkubwa wa Marekani. Marekani anatafuta pesa kwa hiyo unavyofikiria aende nchi gani kuuza silaha zake? kama asipo wagombanisha Waarabu wenyewe kwa wenyewe wapate kugombana ili apate kuuza silaha zake na Waarabu kwa ujinga wa kutokuwa na akili wanamsikiliza M-Marekani wakamsahau adui yao mkubwa Mu-israil. Amka wewe inaonyesha una udini hupendi kuzungumza ukweli wa mambo wewe .Inaonyesha hujuwi Sias ya Marekani na nchi za Ulaya Magharibi juu ya Mashariki ya kati.
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,431
2,000
Hiyo picha imebeba uhalisi wa mgogoro unaoendelea kati ya Qatar na Saudi,japo huwa nashindwa kuelewa kabisa kwanini hizo nchi zinashindwa kuling'amua hilo????!!!!!.
Waarabu hawana akili kazi yao kubwa ni kustarehe na wanawake Mambo ya Siasa hawajuwi ndio maana wanapenda kumsikiliza bwana wao mkubwa M-Marekani.Waarabu Wataendeshwa na Marekani na nchi za Ulaya Magharibi mpaka mwisho wa dunia.
 
doup

JF-Expert Member
Feb 26, 2009
2,171
2,000
Nilidhani Remote ya mabwana wakubwa huwa inakamata Afrika tu. Vita, Njaa, Malazi na umaskini ni kwetu tu wakati tasilimali zimejaaa.
 
Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
9,687
2,000
Waarabu hawana akili kazi yao kubwa ni kustarehe na wanawake Mambo ya Siasa hawajuwi ndio maana wanapenda kumsikiliza bwana wao mkubwa M-Marekani.Waarabu Wataendeshwa na Marekani na nchi za Ulaya Magharibi mpaka mwisho wa dunia.
Usijumuishe waarabu wote,mbona yupo Oman,ni nchi ambayo haiendeshwi wala kufuata msimamo wa nchi yoyote.Hakuna mgigoro wala vurugu.Mfalme wa Oman,toka yupo mzima wa Afya mpaka sasa anaunwa,nchi iko vizuri tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom