Wanavyo chezewa akili zao

Kaka huwezi kuijua Saudia kama huujui uislamu...Uhalisia wa nchi za kiislamu hasa za kiarabu na magharibi huwezi kuujua kupitia katuni,kupitia vyombo vya habari,kupitia siasa za kidemokrasia.

Na hakuna nchi ya magharibi inayoweza kuichezea akili nchi saudia.Naijua saudi kwa mizani ya kielimu.Mnaochezewa akili ni nyie msioujua uislamu na nchi ya Saudia.

Ushawahi kusikia vita vikipiganwa nchini Saudia ? Ukipata jibu usisite kuniambia....
Ww km ni mvivu wa kusoma vitabu na majarida na mufatilia history ndo waweza sema hivo na hata kukuelimisha itakua ni ngumu maana umesha weka udini
 
Kaka huwezi kuijua Saudia kama huujui uislamu...Uhalisia wa nchi za kiislamu hasa za kiarabu na magharibi huwezi kuujua kupitia katuni,kupitia vyombo vya habari,kupitia siasa za kidemokrasia.

Na hakuna nchi ya magharibi inayoweza kuichezea akili nchi saudia.Naijua saudi kwa mizani ya kielimu.Mnaochezewa akili ni nyie msioujua uislamu na nchi ya Saudia.

Ushawahi kusikia vita vikipiganwa nchini Saudia ? Ukipata jibu usisite kuniambia....
Kuna mengi watu hawajui... Ukipata nafasi semaaaaaa
 
Kaka huwezi kuijua Saudia kama huujui uislamu...Uhalisia wa nchi za kiislamu hasa za kiarabu na magharibi huwezi kuujua kupitia katuni,kupitia vyombo vya habari,kupitia siasa za kidemokrasia.

Na hakuna nchi ya magharibi inayoweza kuichezea akili nchi saudia.Naijua saudi kwa mizani ya kielimu.Mnaochezewa akili ni nyie msioujua uislamu na nchi ya Saudia.

Ushawahi kusikia vita vikipiganwa nchini Saudia ? Ukipata jibu usisite kuniambia....
Acha mbwembwe ww, si juzi hapo wamezuia waislamu kuingia kuhiji kisa mgogoro unaoendelea, au uislamu wa saudia ni bora sana kuliko uislamu wa qatar. Kama Saudia yupo vizuri hata kufikilia na anapenda amani zile silaha alizoagiza marekani za nn, kama saudia hapendi vita kinachoendelea kati yake na Irani ni nn, hiyo katuni inajidhihirisha namna gani mataifa makubwa yanatumia akili nyingi kuwagombanisha ukumbuke huu mgogoro umeanza mapema tu baada ya saudia kuwa karibu na Trump, sasa ww endelea kuifahamu vizuri saudia na Uislamu wake.
 
Waarabu hawana akili kazi yao kubwa ni kustarehe na wanawake Mambo ya Siasa hawajuwi ndio maana wanapenda kumsikiliza bwana wao mkubwa M-Marekani.Waarabu Wataendeshwa na Marekani na nchi za Ulaya Magharibi mpaka mwisho wa dunia.

Hasa mwarabu ni kibaraka sana......yaani USA na mafia wenzie wameona GCC(Gulf Cooperation Council) endapo haita bughudhiwa ilikuwa inzidi kuwa tishio kwa maslahi yao,ndo sasa akaona ngoja achokonoe kidogo hili bifu.....Hata Qatar waziri wao alisema kuwa hatma ya GCC iko hatarini kwa kinachoendelea hivi sasa.
 
Hahaaaa haaaa hatari sanaa. Ngoja nifatilie comments labda ntajua zaidi hizi mambo
 
d11a9431127aa1ffc4586792597b1232.jpg
 
Back
Top Bottom