voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,943
Hakika Mungu hadhihakiwi!
Mungu sio Athumani!
Ni Kama Vile Mungu ameanza kuonyesha makasiriko yake dhidi ya dhihaka zilizofanywa kwa mtu aliewahi kutaka kuirudisha nchi yetu kwenye msitari wake.
Ni Kama Vile sasa ni zamu mpya kuonyeshwa ufundi wa Mungu!
Ni Kama Vile bado Mungu anafuatilia na kuamua ugomvi ndani ya nchi hii.
Safari hii naona wanamtandao wamepigwa pazito,tumeona sasa na wao wakitoa machozi ya kweli.
Tuheshimiane hapa Duniani kwa sababu hakuna binadamu aliye na mkataba na Mungu.kuna watu nchi hii wanavimbewa hadi kujisahau kwamba nao kuna siku watakuwa maiti.
Huyu alisema
"Magufuli hatasimama tena"
Na leo yeye pia amelala milele!
Lemutuz nae alisimanga kupitia andiko lake kwa Makonda,leo nae njia ile ile....
Kuna walamba asali wawili wako na tiketi mkononi mmoja yuko Lushoto na Mwingine makamu wa mwenye stool CCM hata Misibani hawezi kuhudhuria.....
Walimtukana Magufuli na kumuita mshamba,kisha siku alipofariki wao wakafanya sherehe na kukifuru mbele ya mkutano mkuu wa CCM....
Kwamba!
"Wazuri hawafi,ila sasa wote tunalamba asali"
Acheni "Mungu" aitwe "Mungu"