butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,769
- 8,260
Bado hamjasema,mtasema tu!Wewe unaanza vibaya na kuhamasisha matusi!
Hivi kusimamisha nchi kwenye mstari ni:
Kuiba pesa za raia wake benk?
Kuua wale ambao haelewani nao?
Kufanya uchafuzi badala ya uchaguzi?
Kuiba trillion 1.5 hazina na kumfukuza kazi CAG kinyume cha sheria?
Kununua madege cash na kupiga chenji?
Kudanganya plea bargain na kuiba fidia na kwenda kuzificha china?
Lilikuwa jambazi na uaji!
HALISAFISHIKI HATA WAKIFA WATU WEMA 100! RIP Bernardo and continue to ROT in HELL Magu!
Mbona Mzee Makamba na Kinana hawaonekani Msibani kwa Kachero,au msiba hauwahusu.Tulieni dawa iwaingie!