Wanavisasi Mmepigwa Pabaya!

Wanavisasi Mmepigwa Pabaya!

Mkuu ile mada yako nzito juu ya Uchunguzi pindi Rais anapofariki madarakani,huwa naipitia kila siku.Watu wanatamani maneno waliyoongea yarudi mdomoni mwao lakini wapi,too late!
Nimekuelewa sana!
TumaniEl nakuelewa Sana ubarikiwe sana
 
Kama mlivyo na mnavyoendeleza chuki yenu dhidi ya yule mliyeshirikiana kumdhuru na kisha kuendelea kumdhihaki akiwa kaburini mpaka leo hii.

Na sisi tunaanzia hapohapo!
Kwanza kubali basi kuwa Membe keshakusanya point zake tatu kimafiosi hapa duniani kabla hajaenda kukutana na mkuu wa malaika.

On a very serious note, nakushauri kwa dhati kabisa kwa afya yako: inuka usimame palipo juu zaidi ya hizo falsafa muflis za sherehe za vifo na misiba ya binadamu wenzako. Labda kama wewe si Mtanzania.
 
Too subjective usichannganye mambo na chuki za waliotumbuliwa kwa ufisadi wenye vyeti feki
Huu ujinga wa kujustify kwamba kila mkosoaji wa shujaa wenu ni muathirika wa vyeti feki ni ujinga!! Ni fisadi gan mlimfunga na yupo gerezani mpaka sasa? Mzalendo wa kweli na pekee Nchi hii ni Mwalimu Julius kambarage Nyerere!! Over
 
Haijalishi ulihuzunika au ulifurahi, UTAKUFA TU

Haijalishi kifo chako kitakuwa mapema au baadaye, hicho si kipimo cha furaha au huzuni yako dhidi ya kifo cha mwenzako

Haijalishi anayekufa sasa alifurahia au alihuzunishwa na kifo cha Magu, kati yetu hatujui alipaswa kufa lini

Mwisho ni muhimu kujua; tupo wajinga wengi tunafikiria ukiwa kiongozi wa ngazi ya juu, bas hupaswi kufa ukiwa madarakani... Huu ni ujinga wa tulio wengi wa wa-Tz
Sawa tumekuelewa ila nasikia Kuna mzoga utasafirishwa kesho
 
Nipo chato nakojoa juu ya kaburi la huyu fisadi, dikteta ,muuwaji. Ila hakika ni kwamba hatafufuka.
Jembe la chato kenge kama we huwezi kugusa hata Kuta ya nyumba inayozunguka kaburi lake amelala kwa heshima kubwa sana
 
Wewe unaanza vibaya na kuhamasisha matusi!
Hivi kusimamisha nchi kwenye mstari ni:
Kuiba pesa za raia wake benk?
Kuua wale ambao haelewani nao?
Kufanya uchafuzi badala ya uchaguzi?
Kuiba trillion 1.5 hazina na kumfukuza kazi CAG kinyume cha sheria?
Kununua madege cash na kupiga chenji?
Kudanganya plea bargain na kuiba fidia na kwenda kuzificha china?
Lilikuwa jambazi na uaji!
HALISAFISHIKI HATA WAKIFA WATU WEMA 100! RIP Bernardo and continue to ROT in HELL Magu!
Wahi rundo wewe
 
Mkuu Voicer kwa vile wewe na wenzako mmeamua kuendeleza mashindano batili ya kimafia kuhusu vifo na misiba ya mahasimu, basi nakupa kigezo muhimu katika falsafa muflis ya mafiosi: Yule anayekuwepo na/au kuhudhuria na/au kusimamia msiba wa kifo cha hasimu wake ndiye mshindi. He who survives his adversary is the victor.

Haya basi endelezeni mipasho batili ya misiba kwa faida ya nafsi zenu duni.
Toa huu uchafu acha hii movies iendelee
 
Hakika Mungu hadhihakiwi!
Mungu sio Athumani!

Ni Kama Vile Mungu ameanza kuonyesha makasiriko yake dhidi ya dhihaka zilizofanywa kwa mtu aliewahi kutaka kuirudisha nchi yetu kwenye msitari wake.

Ni Kama Vile sasa ni zamu mpya kuonyeshwa ufundi wa Mungu!

Ni Kama Vile bado Mungu anafuatilia na kuamua ugomvi ndani ya nchi hii.

Safari hii naona wanamtandao wamepigwa pazito,tumeona sasa na wao wakitoa machozi ya kweli.

Tuheshimiane hapa Duniani kwa sababu hakuna binadamu aliye na mkataba na Mungu.kuna watu nchi hii wanavimbewa hadi kujisahau kwamba nao kuna siku watakuwa maiti.

Huyu alisema
"Magufuli hatasimama tena"

Na leo yeye pia amelala milele!

Lemutuz nae alisimanga kupitia andiko lake kwa Makonda,leo nae njia ile ile....

Kuna walamba asali wawili wako na tiketi mkononi mmoja yuko Lushoto na Mwingine makamu wa mwenye stool CCM hata Misibani hawezi kuhudhuria.....

Walimtukana Magufuli na kumuita mshamba,kisha siku alipofariki wao wakafanya sherehe na kukifuru mbele ya mkutano mkuu wa CCM....

Kwamba!

"Wazuri hawafi,ila sasa wote tunalamba asali"

Acheni "Mungu" aitwe "Mungu"
Mnawatafuta watu wa comment wakianza ku comment mnaanza kulia na kulamba makamasi kuwa mnatukanwa.
Mnapenda sana kutumia jina la JPM kujifanya mnampigania kumbe mnata watu wajae ili muwagawe watanzania.
Huyu Le Mutuz unayelazimishia hapa ni mani asiyejua kuwa alikua ni Pro- Magu kuliko maelezo?
 
Huyo marehemu wa mleta mada alishawahi kumdhihaki mtu kwa kupiga pushup jukwaani
Alikuwa anajibu hoja kwamba ni mgonjwa. Push up ilikuwa kwa ajili ya kuonesha kuwa yuko fit.
 
Hakika Mungu hadhihakiwi!
Mungu sio Athumani!

Ni Kama Vile Mungu ameanza kuonyesha makasiriko yake dhidi ya dhihaka zilizofanywa kwa mtu aliewahi kutaka kuirudisha nchi yetu kwenye msitari wake.

Ni Kama Vile sasa ni zamu mpya kuonyeshwa ufundi wa Mungu!

Ni Kama Vile bado Mungu anafuatilia na kuamua ugomvi ndani ya nchi hii.

Safari hii naona wanamtandao wamepigwa pazito,tumeona sasa na wao wakitoa machozi ya kweli.

Tuheshimiane hapa Duniani kwa sababu hakuna binadamu aliye na mkataba na Mungu.kuna watu nchi hii wanavimbewa hadi kujisahau kwamba nao kuna siku watakuwa maiti.

Huyu alisema
"Magufuli hatasimama tena"

Na leo yeye pia amelala milele!

Lemutuz nae alisimanga kupitia andiko lake kwa Makonda,leo nae njia ile ile....

Kuna walamba asali wawili wako na tiketi mkononi mmoja yuko Lushoto na Mwingine makamu wa mwenye stool CCM hata Misibani hawezi kuhudhuria.....

Walimtukana Magufuli na kumuita mshamba,kisha siku alipofariki wao wakafanya sherehe na kukifuru mbele ya mkutano mkuu wa CCM....

Kwamba!

"Wazuri hawafi,ila sasa wote tunalamba asali"

Acheni "Mungu" aitwe "Mungu"
Kufa ni wajibu kwa kila binadamu, pia kufurahi na kuomboleza haiepukiki. Dunia ni uwanja wa fujo
 
Alikuwa anajibu hoja kwamba ni mgonjwa. Push up ilikuwa kwa ajili ya kuonesha kuwa yuko fit.
Weeee! Kipindi kile cha pushup ni mtu mmoja tu alikuwa anatambulika na kudhihakiwa ni mgonjwa, na hadi leo yupo hai
 
Hakika Mungu hadhihakiwi!
Mungu sio Athumani!

Ni Kama Vile Mungu ameanza kuonyesha makasiriko yake dhidi ya dhihaka zilizofanywa kwa mtu aliewahi kutaka kuirudisha nchi yetu kwenye msitari wake.

Ni Kama Vile sasa ni zamu mpya kuonyeshwa ufundi wa Mungu!

Ni Kama Vile bado Mungu anafuatilia na kuamua ugomvi ndani ya nchi hii.

Safari hii naona wanamtandao wamepigwa pazito,tumeona sasa na wao wakitoa machozi ya kweli.

Tuheshimiane hapa Duniani kwa sababu hakuna binadamu aliye na mkataba na Mungu.kuna watu nchi hii wanavimbewa hadi kujisahau kwamba nao kuna siku watakuwa maiti.

Huyu alisema
"Magufuli hatasimama tena"

Na leo yeye pia amelala milele!

Lemutuz nae alisimanga kupitia andiko lake kwa Makonda,leo nae njia ile ile....

Kuna walamba asali wawili wako na tiketi mkononi mmoja yuko Lushoto na Mwingine makamu wa mwenye stool CCM hata Misibani hawezi kuhudhuria.....

Walimtukana Magufuli na kumuita mshamba,kisha siku alipofariki wao wakafanya sherehe na kukifuru mbele ya mkutano mkuu wa CCM....

Kwamba!

"Wazuri hawafi,ila sasa wote tunalamba asali"

Acheni "Mungu" aitwe "Mungu"
Pale mtaani kwetu "Kilimani" Dom mnamo mwaka 1986, aliuwawa jambazi moja maarufu kama "tembo" kwa kugongwa na gari.

Vijana kwa watoto na wazee wote kwa umoja wetu tulisema "asante Mungu".

Hii haikuwa na maana kuwa wote hatukuelewa thamani ya uhai, bali ilionyesha kama binadamu tuliochoshwa na uovu wa huyo binadamu mwenzetu aliyejulikana kama temb, tulifurahia kuwa na amani kwa kutokuwepo kwake.

Iwe isiwe,usheherehekee au uhuzunike, kifo ni chetu sote.
 
Hakika Mungu hadhihakiwi!
Mungu sio Athumani!

Ni Kama Vile Mungu ameanza kuonyesha makasiriko yake dhidi ya dhihaka zilizofanywa kwa mtu aliewahi kutaka kuirudisha nchi yetu kwenye msitari wake.

Ni Kama Vile sasa ni zamu mpya kuonyeshwa ufundi wa Mungu!

Ni Kama Vile bado Mungu anafuatilia na kuamua ugomvi ndani ya nchi hii.

Safari hii naona wanamtandao wamepigwa pazito,tumeona sasa na wao wakitoa machozi ya kweli.

Tuheshimiane hapa Duniani kwa sababu hakuna binadamu aliye na mkataba na Mungu.kuna watu nchi hii wanavimbewa hadi kujisahau kwamba nao kuna siku watakuwa maiti.

Huyu alisema
"Magufuli hatasimama tena"

Na leo yeye pia amelala milele!

Lemutuz nae alisimanga kupitia andiko lake kwa Makonda,leo nae njia ile ile....

Kuna walamba asali wawili wako na tiketi mkononi mmoja yuko Lushoto na Mwingine makamu wa mwenye stool CCM hata Misibani hawezi kuhudhuria.....

Walimtukana Magufuli na kumuita mshamba,kisha siku alipofariki wao wakafanya sherehe na kukifuru mbele ya mkutano mkuu wa CCM....

Kwamba!

"Wazuri hawafi,ila sasa wote tunalamba asali"

Acheni "Mungu" aitwe "Mungu"

Unarudisha nchi kwenye mstari kwa kutoheshimu sheria za nchi. Au kuteka na kuumiza wasiokusujudia ndio urejeshaji wenyewe?
 
Back
Top Bottom