Kwa sababu nafanya ujenzi na pia ni mtu wa dili ....Naweza kutoka Mil 2 ,nikapoteq hata miezi mitatu nisifike bank wala kutumia ATM , mshahara unaingia tu ila sitoi .Mh unakaaje na pesa nyingi ivyo tena ndani?
Kama kawaida...Ahahha bishoo au sio?
Kweli kabisa hii imekaa sawaBinafsi Wellet ilinishinda,naishika kuiweka kwenye gari tu,kwaajili ya kuhifadhi cards
Nikikaa sana kwenye kiti naumia makalio nq mgongo nikienda kanisani au kufanya manunuzi bora niweke mfuko wa mbele na inakuwa slim sana.
Ndio maana nikasema kichwa mma, na hili joto la dar hela ukiiweka mfukoni hasa noti ukija kuitoa imelegea kama mlevi.Kichwa changu kina mambo mengi kwenye story hapo ndio shida zikianza tu nasahau kabisa
Mbona kama unatupanga upo sekta gani hiyo boss unitafutie kaziKwa sababu nafanya ujenzi na pia ni mtu wa dili ....Naweza kutoka Mil 2 ,nikapoteq hata miezi mitatu nisifike bank wala kutumia ATM , mshahara unaingia tu ila sitoi .
NakubaliKama kawaida...
Haah , serikalini mzee hizi Taasisi.Mbona kama unatupanga upo sekta gani hiyo boss unitafutie kazi
Hata wataalamu wa Afya hawaruhusu kuweka wallet mfuko wa nyuma kwa wanao kaa sana kwenye viti ofisini.Kweli kabisa hii imekaa sawa
Safi kabisa mimi pia natumia hiyo kuna siku nilikuwa navuka kigamboni nafika pale getin na waonesha kitambulisho kwenye simu et waanashangaa why utembei nacho nikawapiga jicho nikapita hiviNiliacha kutembea na wallet nilipopoteza moja ikiwa na kadi zangu muhimu sana na hela nyingi sintosahau hadi leo
Ni zaidi ya miaka 5
Ninazo wallet napewa zawadi ila sizitumii
Simu yangu ndio kila kitu vitambulisho vyangu muhimu nimevisevu kwenye simu fedha za matumizi kwenye simu
Nawashangaa vijana wa siku hizi ana wallet imetuna nasikia wengine wanajaza hata makaratasi wanaona sifa
Uongo bhna hii umetupanga sana hapaNdio maana nikasema kichwa mma, na hili joto la dar hela ukiiweka mfukoni hasa noti ukija kuitoa imelegea kama mlevi.
Lesso siwezi sahau nikikosa lesso natembea na tishu zile za rangi ngumuWallet Nimejifunza Kubeba Tangu niko Form 3. Mpaka sasa siweI Kuacha.
Nimeshindwa kutembea na 1. Pen, 2. Lesso
C ndio ss mkuuUnaonekana una kishundu upande 🤣
Mh ase upo pazuri sana paka nakuonea wivu 2m unapata kazini per day mshahara inakutana duhHaah , serikalini mzee hizi Taasisi.
Kumbe sasa kama kazi zako ni zakusimama mda mrefu kama mwalimuHata wataalamu wa Afya hawaruhusu kuweka wallet mfuko wa nyuma kwa wanao kaa sana kwenye viti ofisini.
Inaharibu mgongo.
Hapana bhna now ni smu tuWallet inapendeza na inarahisisha maisha, ukifika sehemu ya kukaa unaitoa mfuko wa nyuma unaiweka mfuko wa mbele au mezani kulingana na mazingira, inasaidia kupangilia pesa na vitu vingine kama cards; kuweka pesa na vitu ambavyo vingekaa kwa Wallet mfukoni sio vibaya ila ukiwa na Wallet ni vizuri zaidi na inaonesha ni namna gani unaweza kupangilia vitu vingine kwenye maisha tofauti na pesa unazotembea nazo
Hapana sipati per day , Kiufupi mimi sina familia niko tu mwenyewe 🤣🤣matumizi yangu ni madogo ,vile vile nafanya kazi usiku na mchana ...Kwa mwez naweza kupumzika siku 2 zilizobaki zote napiga kazi .Mh ase upo pazuri sana paka nakuonea wivu 2m unapata kazini per day mshahara inakutana duh
Kweli kabisa 😂C ndio ss mkuu