Wanaume....!

Wanaume....!

Ipo Siku Utakutana Na ARVs Wewe Endelea Tu Na Upekuzi Wako.
 
Na wala sikuwahi kumchanganya na yoyote
Pole sana,
Maisha haya bhana sujui yakoje,
Baada ya kuachana na mpnz wangu niliyempenda sana,(niliachana naye kwa sababu alikuwa ana-cheat na boda boda,mbaya zaidi alikuwa anafanya mapenzi kinyume na maumbile,nikishindwa kuvumilia nikaachana naye).

Nilikaa kwa muda bila kuwa na mahusiano,nikakutana na mdada mpole sana,ila alikuwa ameachana na mume wake,kwa madai kwamba mumewe alikuwa anataka kumfanya kinyume na maumbile,na kwa kuwa yeye ni mtu wa dini sana alikataa,akaamua kuachana na mumewe!

Nikaamua kuanza mahusiano na huyu dada,(ana mtoto mmoja) alikuja dar kutoka mkoa,tukaongea mengi sana,nikaridhia kuwa atanifaa!

Baada ya kama mwezi mmoja,bikawa nahisi mabadiliko hasi sana kutoka kwake,nlipomuuliza kunani aliishia kunambia "Nipo sawa"

Nilijitahidi kwa kiasi kikubwa kuvumilia,lakini siku moja akaniandikia "kusema ukweli nisikudanganye,mwanaume pekee ninaye mpenda ni mume wangu" nikacheka sana,nikamwambia "kila la kheri"

Baada ya kama wiki akarudi tena anaomba tuendelee na mahusiano aliteleza kunambia vile!nikamwambia tutaongea!

Baada ya muda kidogo kupita akanambia yupo njiani kuja dar,nikashangaa sana,maana nikaona anataka kunipelekesha,mbaya zaidi anakuja dar lakini ananitaka nimfuate akishamaliza shughuli zake zilizomleta,nikampotezea!

Baadaye akanitumia ujumbe,
"Nilikuwa na wapenzi wengine,nimechagua mwanaume mwingine anayenifaa zaidi" nikamwambia kila la kheri!

Tangu last week najiangalizia zangu movie mlimani city nakula nyama choma narudi zangu nyumbani!

Huu ndiyo ubinadamu chini ya jua,tunajifunza mengi!
 
Kilichokutuma upekue kama Kuku ni nini, ona sasa yaliyokukuta

Hutakiwi kujua habari za mwanaume wako bali unatakiwa umjue tu.
 
Mmh mapenzi haya

Aisee pole sana
 
Njoo kwangu mpenzi bweke.
Achana na huyo fisi manga aliyeokoka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom