Wanaume....!

Wanaume....!

Nakuomba please Ni pm nimekaa single mda mrefu leo Mungu aliniambia utapata mpenzi bila kutazamia na ndo hivi nahisi umekuja..nakuomba Ni jib meseji yangu niliyokutumia PM
PLEASE PLEASE DO ME A FAVOR..NISHAKUPENDA MWENZIO SIJUI NIELEZEAJE UAMINI KAMA NI KWELI NAMAANISHA NIKABIZI MOYO WAKO TUYAJENGE MAISHA YENYEWE MAFUPI HAYA..YAANI NAKUAHID MBELE YA WANA JF NITATULIA TULI NA WEWE PEKE YAKO
 
Angekuambia usingempa papuchi.....yaan demu aniulize"utanichezea au utanioa" half mm niseme nakuchezea hata kama najua n HVO,siwez maana hutakubali....na kama ingekuwa HVO bhc MTU angekuwa anadet Mara moja tu then ndoa....
 
Sasa kwa nini awe na wengi wakati anayempenda ni mmoja!?mkuu unajua mapenzi yanavyouma
Atarekebishika tu,kwa asili ya mwanaume anaweza kuwa na wapenzi wengi ila atakayempenda kwa ajili ya maisha akawa ni mmoja tu.
 
Ili ukifikia ndoa lazima uliwe sana tu wahuni
Habari ya mchana....

Huyu kaka niko naye kwenye mahusiano kwa muda sasa niseme tu ameokoka anasali haya makanisa ya kiroho.Nilimpenda japo yeye hakunipenda kama alivyokua ananiaminisha.

Sasa bwana last week tulikua pamoja kwake.
Asubuhi alitoka,katika pitapita zangu nikakuta nguo za kike na viatu.

Mapigo ya moyo yalishtuka kidogo, baada ya kurudi nauliza vile vitu ni vya nani jibu nililopewa ...kiherehere changu kimeniponza kwanini niangalie vitu vyake bila ruhusa yake!?

Nilichoka na jibu nikaamua tu kuondoka....Wanaume mpendwe vipi jamani!?

Nilichogundua nilikua mpango kando pasipo mwenyewe kujua........

Si angeniambia tu tunasogeza siku... kinachoniuma hakuniambia ukweli nikampenda mzimamzima......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom