Wanaume....!

Wanaume....!

Asante kwa kunipa za mbavu
Pole mamii

Ndiyo tulivo

Cha msingi usimfuatilie Fanya yako basii

Kusema Kweli huwa tunachepuka ila Nyumban heshima debe
Mwanaume anaye dharau hom huyo ni Mpumbavu

Tuna chepuka lkn kwa akili
 
Pole mamii

Ndiyo tulivo

Cha msingi usimfuatilie Fanya yako basii

Kusema Kweli huwa tunachepuka ila Nyumban heshima debe
Mwanaume anaye dharau hom huyo ni Mpumbavu

Tuna chepuka lkn kwa akili
Kwa hiyo mkuu kwako kuchepuka kuwepo ila kuwe na heshima unataka kuhalalisha haramu iwe halali.
 
Habari ya mchana....

Huyu kaka niko naye kwenye mahusiano kwa muda sasa niseme tu ameokoka anasali haya makanisa ya kiroho.Nilimpenda japo yeye hakunipenda kama alivyokua ananiaminisha.

Sasa bwana last week tulikua pamoja kwake.
Asubuhi alitoka,katika pitapita zangu nikakuta nguo za kike na viatu.

Mapigo ya moyo yalishtuka kidogo, baada ya kurudi nauliza vile vitu ni vya nani jibu nililopewa ...kiherehere changu kimeniponza kwanini niangalie vitu vyake bila ruhusa yake!?

Nilichoka na jibu nikaamua tu kuondoka....Wanaume mpendwe vipi jamani!?

Nilichogundua nilikua mpango kando pasipo mwenyewe kujua........

Si angeniambia tu tunasogeza siku... kinachoniuma hakuniambia ukweli nikampenda mzimamzima......

IMG_2048.JPG

Stay strong Mkuu
 
Haya malalamiko yako yanauhalali endapo kama ulikuwa umchuni
 
Kwa hiyo mkuu kwako kuchepuka kuwepo ila kuwe na heshima unataka kuhalalisha haramu iwe halali.
Mkuu huu Ndiyo Ukwel bila chenga

Sijahalalisha mimi nlikuta nitaacha na utaendelea

Hii ishu ipo automatic tuu

Ni wachache Sana wanaweza kuvumilia ile hali

Viongoz wa dini wenyewe wanashindwa baadhi lkn

Kwa hiyo Ni kitu ambacho kipo

Ila tunashauriwa Mke wa ndoa asijue Nyumban kuwepo na heshima

Hakuna mwanaume wa Mke mmoja Kati ya 100 bas ni 2 au 3
 
Aisee inabidi tukubali ukweli hakuna namna
 
  • Thanks
Reactions: wax
Hilo neno nakupenda sasa silipendi
Skia,najua kwa sasa umeumizwa,ila nakuahidi sitokufanya uwe mwenye huzuni tena,na hili kwako halitojirudia kamwe. Naomba uniamin kwa haya nisemayo japo kidogo tu
 
Skia,najua kwa sasa umeumizwa,ila nakuahidi sitokufanya uwe mwenye huzuni tena,na hili kwako halitojirudia kamwe. Naomba uniamin kwa haya nisemayo japo kidogo tu
Unanifurahisha mkuu...umenifanya nicheke
 
Unanifurahisha mkuu...umenifanya nicheke
Always nitakufanya uwe mwenye furaha na kutabasamu Siku zote za maisha yetu,huzuni na vilio havitokuwa na nafasi kwetu,japo changamoto za hapa na pale hazikwepeki ila tutamuomba Mungu alinde penzi letu kwa pamoja tuweze kufikia malengo na shetani asiweze kuingilia kamwe,itikia amen basi.
 
Mnafanan tabia wacha mpigwe na kimbunga

Kama vitu Tu haviwezi kuwa sawa vipi kwa binadamu tuonee huruma ambao hatuhusiki
Watu hatufanani maana pia kuna visa vya wanaume pia kufanyiwa usaliti kwahiyo tusiwe Emotional katika kufanya maamuzi sababu pia hata ninyi wanawake mnatofautiana pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom