Wanaume....!

Wanaume....!

Habari ya mchana....

Huyu kaka niko naye kwenye mahusiano kwa muda sasa niseme tu ameokoka anasali haya makanisa ya kiroho.Nilimpenda japo yeye hakunipenda kama alivyokua ananiaminisha.

Sasa bwana last week tulikua pamoja kwake.
Asubuhi alitoka,katika pitapita zangu nikakuta nguo za kike na viatu.

Mapigo ya moyo yalishtuka kidogo, baada ya kurudi nauliza vile vitu ni vya nani jibu nililopewa ...kiherehere changu kimeniponza kwanini niangalie vitu vyake bila ruhusa yake!?

Nilichoka na jibu nikaamua tu kuondoka....Wanaume mpendwe vipi jamani!?

Nilichogundua nilikua mpango kando pasipo mwenyewe kujua........

Si angeniambia tu tunasogeza siku... kinachoniuma hakuniambia ukweli nikampenda mzimamzima......
Pole sana..
 
Pole sana hii yaweza kuwa mara ya 4 nakuta reply yako ukilalamika hivi hivi.
Hii mada inanikumbusha machungu sana wanaume kipite tu kimbunga kiwabebe tubaki peke yetu labda tutakuwa na amani
 
Ungezipitisha mkasi kimya kimya then unaziacha.tuone atakuuliza ha ha ha akili za usingizi..dont try this at home
 
kabla ya kuwa nae

1.Alikwambia hana mpenzi mwingine????

2.Kwa muda wote uliokuwa nae hukuwahi kuhisi anakudanganya???

3. baada ya kuondoka umeshawasiliana nae tena???

NB. Itakuwa swali lako kwa bwana huyo uliuliza kwa kufoka, sidhani kama ungeuliza kwa utaratibu ungejibiwa vile!!

#Nyama ya Ulimi itumike vyema!
 
Hakuniambia kama anampenzi,sikuwahi kuhisi kwakua hakuwahi nionyesha mashaka.....i was very calm nilivyokua namuuliza ila majibu yake yalinichosha....hatujawasiliana tena.
 
bado unampenda???
 
Pole mamaa I feel ur pain...so sorry utapitia kipindi kigumu cha hisia lkn shukuru Mungu kwa kila jambo,,yes ,usijizuie kuumia jiachie uumie mpka mwisho maumivu yatoke ...ktk kipindi hichi utaona kila mwanaume hafai kikubwa tulia jipe muda usiyape nafasi mahusiano mapya....jipe muda wanaume wazuri wapo....ila sasa ukipata mtu usiingie mazima ...mguu mmoja ndani mwengine nje ..usimpe mwanaume moyo wako wote hakuna mwanaume mwenye mwanamke 1...
 
Hakuniambia kama anampenzi,sikuwahi kuhisi kwakua hakuwahi nionyesha mashaka.....i was very calm nilivyokua namuuliza ila majibu yake yalinichosha....hatujawasiliana tena.
Pole kwa kuachwa ndio ukubwa huo
 
Wacha we!! Basi hongereni.
ha ha ha au mkuu ulielewi hilo?msichana hajui namna ya kuishi na mwanaume ila mwanamke anajua namna ya kuishi na mwanaume...sasa hapo ni nani ni msichana na ni nani mwanamke!
 
Habari ya mchana....

Huyu kaka niko naye kwenye mahusiano kwa muda sasa niseme tu ameokoka anasali haya makanisa ya kiroho.Nilimpenda japo yeye hakunipenda kama alivyokua ananiaminisha.

Sasa bwana last week tulikua pamoja kwake.
Asubuhi alitoka,katika pitapita zangu nikakuta nguo za kike na viatu.

Mapigo ya moyo yalishtuka kidogo, baada ya kurudi nauliza vile vitu ni vya nani jibu nililopewa ...kiherehere changu kimeniponza kwanini niangalie vitu vyake bila ruhusa yake!?

Nilichoka na jibu nikaamua tu kuondoka....Wanaume mpendwe vipi jamani!?

Nilichogundua nilikua mpango kando pasipo mwenyewe kujua........

Si angeniambia tu tunasogeza siku... kinachoniuma hakuniambia ukweli nikampenda mzimamzima......
Kwa hiyo wewe ulikuwa na yeye tu???
 
Pole Sana,sasa angekwambia kama anataka kuzugia tu ungekubali?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom