cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,939
Tokaaaa, 😂😂😂Ebu huko
Tokaaaa, 😂😂😂Ebu huko
Nitakuibukia hapo sudan kwa waarabu koko wa tandikaTokaaaa, 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣Siku zako na huyo mwanamke ambae haumpi pesa zinahesabika chukua tahadhari. Usije kulia kilio cha mbwa mdomo wazi
Husipeleke maua tia hela
Usitutishe🤣Sio vichoyo kabisa 😂😂 Ujue kula vidonge na kuvaa pampas tu.
😂😂😂 wee Zeru Zeru usinitishee, mxxxiiiewNitakuibukia hapo sudan kwa waarabu koko wa tandika
Pia Adam alipokua single,Mungu alimpa Mwanamke bikra sio single mother,na uwaambie hata nyoka alipoenda kwa eva hakwenda mikono mitupu hivyo basi wasizidiwe akili na wanyama /wadudu
mbona unifokee sasa 🤨Pia Adam alipokua single,Mungu alimpa Mwanamke bikra sio single mother,
Sasa wewe bishana na maandiko.
Si tunakumbushana tu maandiko yanavyosema?mbona unifokee sasa 🤨
ndo unikimbushe kwa maneno makali hivyi? nikidondoka nife kwa presha? 🤔Si tunakumbushana tu maandiko yanavyosema?
Haufi,ndo unikimbushe kwa maneno makali hivyi? nikidondoka nife kwa presha? 🤔
haya ndo maneno sasa🔥💃Haufi,
Ishi sana,bado unahitajika katika hii Dunia,wewe ni mtu muhimu sana.
Endelea kujimix mim sio sope😂😂😂 wee Zeru Zeru usinitishee, mxxxiiiew
Takadini, 😂😂😂Endelea kujimix mim sio sope