Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,339
hawa dada zetu cultural imperialism inawapeleka puta kuanzia kuvaa kuongea kwa kubana pua kiswanglish you know you know kibao.hii yote ni kutokujiamini(inferiority complex)mfano mzuri ni hao wameru waliokuwa eatv ni vichefuchefu
mkuu je umegundua ni kwanini wazungu wana harufu isiyoisha?
Trust me, wanaume wa tz ndo my only number, hata mkenya staki kusikia! Watz hata waishe wote, bora nihamie kwenye ukameruni (god forbid). Ila mweupe, over my dead rotten body!
Kwani unanionaje bro?
hao ni wapuuzi wajiulize kwann wanawake wa kizungu wakija huku wanapenda black Men mzungu anachukua hadi mmasai kama ingekuwa wenzao wanaume wa kizungu basi wasingefanya ivo na mademu wakizungu wanajua black men anamikazo hatari hao kina wehu wanasemaje ni ujinga mtupu kwanza watu weupe hawajui mapenzi wamepooza hawana radha labla yeye anaona kwenye X ndo anachukulia vile wakati wale wanatumia madawa ya nguvu za kiume black men no dawa anakamua mwanzo mwisho huyo nakaya na nansy sumary wote mambumbumbu halafu wengne wanadhan wakijiona wapo kwny media wanaona wakisema ivo ndo watapendwa na wazungu wehu hao kuku mayaiHasa dada mtu Kiswanglish kingi, ifike mahali TCRA iingilie kati kama mtu akiitwa kwenye kipindi kama ni kiswahili aongee kiswahili na english aongee english kuliko utamaduni huu wa kuchanganya. Maana watz jinsi tulivyo kukiwa kuna session inatakiwa iendeshwe kwa kiingereza utakuta mtu anachangia kwa english alafu anafika sehemu anaweka kiswahili kwa kusema ili kila mtu aelewe naongea kiswahili (wakipewa chance ya kuonyesha umahiri wa kiingereza utasikia wanajifanya kurudi lugha ya nyumbani ili kila mtu aelewe na wakipewa fursa ya kutumia kiswahili kuchanganya ndio kunakuwa kwingi.) Sidhani kama Tz tumefikia hapa tulipo hasa ukizingatia wale wanaoangalia wengi wao ni watu wa kawaida ambao tangu wamejifunza kiingereza darasa la tatu mpaka la saba hawajawahi kukitumia kabisa
Hasa dada mtu Kiswanglish kingi, ifike mahali TCRA iingilie kati kama mtu akiitwa kwenye kipindi kama ni kiswahili aongee kiswahili na english aongee english kuliko utamaduni huu wa kuchanganya. Maana watz jinsi tulivyo kukiwa kuna session inatakiwa iendeshwe kwa kiingereza utakuta mtu anachangia kwa english alafu anafika sehemu anaweka kiswahili kwa kusema ili kila mtu aelewe naongea kiswahili (wakipewa chance ya kuonyesha umahiri wa kiingereza utasikia wanajifanya kurudi lugha ya nyumbani ili kila mtu aelewe na wakipewa fursa ya kutumia kiswahili kuchanganya ndio kunakuwa kwingi.) Sidhani kama Tz tumefikia hapa tulipo hasa ukizingatia wale wanaoangalia wengi wao ni watu wa kawaida ambao tangu wamejifunza kiingereza darasa la tatu mpaka la saba hawajawahi kukitumia kabisa
inategemea bana
mbona mi nikiona ngozi nyeusi
nachanganyikiwa halafu akiwa tall weeeee!teh!
Kumbe ndivyo ulivyo!!!!! Nimekubamba
hahaaaa!kweli umenibamba
umeona choice yangu hiyo balaa!
ma hb wa ukweli!