Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,549
- Thread starter
- #261
LabdaNi hisia zako tuu
LabdaNi hisia zako tuu
nmekuelewa mkuu ila kwa girls kwa sura weupo napend bcs wanavutia(wazung) ila kwa hap bomg napend white nisiwe muongHuu ni upande mwingine
Unaweza malizia hata ww tuMbn hujamalizia
Mungu nini? Aisee nimesoma huu uzi m'bichwa huooo kama faru joni![]()
![]()
UBAGUZI WA RANGI HUO,MUONE KWANZASalaam..
Nilipokuwa mdogo.kabla sijawa mkubwa wa kujitambua nilikuwa napenda sana wanaume weupe.
Na akili za utoto tena, Nikawa nasema kwa nini baba hajawa mweupe,,
Pengine nami ningekuwa mweupe.
Tokea nimefikisha miaka kumi na mitano na kuendelea mpaka Leo.
Sijawahi kuwapenda wanaume weupe hata kidogo.
Sio kwa ubaya. Ila sina mapenzi na rangi nyeupe kabisa.
Angalau mwanaume awe na rangi ya Maji ya kunde,
Mda mwingine mpaka najiuliza vipi hawa wanawake wanawapenda wazungu??,
Ikiwa Mimi mwanaume akiwa mweupe haijalishi ni mwafrika au Mzungu si wapendi kivileee..sio kimapenzi hata kwa urafiki wa kawaida tu...
vipi wewe unavutiwa na mweupe au mweusi.

ohooooo!!!Napenda mwanaume mweupe.
Stereotypingna kujipaka lip shine sijui wanashida gani? na mipafyumu mkali kama maiti ha ahah
Na mwanaume utakuwaje mweupe bana! Ili iwe nini?
Kwani weusi c melanin 2 hiyo mi sioni kama eti rangi ndo ina detamine shughuli kha! No scientific explanation on that.Wanakosea Sana. Hawajui thamani ya ucheusi mangala



Halafu watu wanapenda mambo ya rangi ya ngozi. Kama juzi kuna mtu kaanzisha uzi wa kukandia wanawake weupe na warefuweusi leo tume pewa flag
oyooooo!!!
