Wanaume weusi vs wanaume weupe

Wanaume weusi vs wanaume weupe

Binafsi naona kama wewe ni mhanga wa kuwahi kutoka na mtu mweupe akakuzingua, ila wapo wenye kujali na kupenda kweli kingine ni kutokujiamini kwa wanawake wengi hasa wanapokuwa na watu wa aina hiyo, wanahisi hawatodum nao au wanachipuka kwa namna mmoja au nyingine..sawa na wanaume wengi wanapokuwa na woga wa kuoa wanawake warembo kwa kuhofia kutokuwa na uaminifu ndani ya ndoa..lakini ukweli utabaki pale pale kuringa au kuto kuringa ni tabia ya mtu, sema wachache wanaweza kuathiri mtazamo wetu..
 
Kwani weusi c melanin 2 hiyo mi sioni kama eti rangi ndo ina detamine shughuli kha! No scientific explanation on that.
Hatujasemea shughuli japo wamesifiwa kweli kwenye hiyo secta wapo vizuri. Ni kaupendo tu
 
Dah! Kwl mmetuamulia aseee. Kein problem.
Ila nadhani una ugomvi binafsi unatuunganjsha wote. Una mtazamo hasi kisa umeshindwana nao. Even though hawajakulazmisha uwapende inaezkana huna cha kuwavtia
Sijawahi shindwana na mtu yoyote na wala sina ugomvi na mtu yoyote yule...
 
Binafsi naona kama wewe ni mhanga wa kuwahi kutoka na mtu mweupe akakuzingua, ila wapo wenye kujali na kupenda kweli kingine ni kutokujiamini kwa wanawake wengi hasa wanapokuwa na watu wa aina hiyo, wanahisi hawatodum nao au wanachipuka kwa namna mmoja au nyingine..sawa na wanaume wengi wanapokuwa na woga wa kuoa wanawake warembo kwa kuhofia kutokuwa na uaminifu ndani ya ndoa..lakini ukweli utabaki pale pale kuringa au kuto kuringa ni tabia ya mtu, sema wachache wanaweza kuathiri mtazamo wetu..
Sijawahi zinguana na mtuuuu yoyoteeeee
 
Kipenda roho bana, mungu alikuwa na makusudi yake kututofautisha, wakati wewe hawakuvutii lkn kuna wenzako wanawazimia kinoma.hilo la sijui wanaringa na kujipodoa sio kweli, ni tabia ya mtu tu.
 
Mimi napenda mwanamke mweupe/wanawake weupe

Hasa nikiona/nikikutana na mwanamke mweupe,mrefu na mwembamba kiasi.

Yaani akili huwaga inakosa ushirikiano na mwili na kichwa kidogo kinachukua hatamu.

Mwanamke mweupe/wanawake weupe ndo ugonjwa wangu maana pale kati huwaga kuna weusi wa msitu wa amazoni tu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom