Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Acha dharau. Ni Basketball.Si ukacheze netball sasa. Naona unaundugu na hashimu thabiti
Acha dharau. Ni Basketball.Si ukacheze netball sasa. Naona unaundugu na hashimu thabiti
Mimi ni inchi 5.9Mimi mwembamba. Mweusi. Mrefu. Nategemewa home kubadilisha balbu bila kutumia ngazi au kiti.
Maji ya kunde. Kwa hiyo kwenye profile tukisema tuangalie kulingana na jinsi tulivyo. Wengine si watajikuta,akina faru john??hiyo ni profile tuxax mbn hapo profil yako umewek mtu mweup au unamanish weup gani roho ama nn
Huu ni upande mwingineme napend friends wa kizung sio waongo waong wapo specific
Uzi wa kike bhna huukaka tukae kimya huu hautuhusu...
Ngoja waje wa size yako.Mimi ni inchi 5.9
Inch 5! Sio kweli. Labda kama unamaanisha 'ft 5!Mimi ni inchi 5.9
Si ndio manake nikasema mkianza kuorodhesha -me weusi, warefu na Mimi nimo!I'm sorry. Kumbe wewe mee...![]()
ExactlyInch 5! Sio kweli. Labda kama unamaanisha 'ft 5!
Watakuja soon
KumbeeeeSi ndio manake nikasema mkianza kuorodhesha -me weusi, warefu na Mimi nimo!
Mimi napenda nizae Mtoto black.ila yoyote mungu alimleta insaalahMnasemaga hamtaki watoto weusi ndio maana sisi weupe Tunawazalisha na kuwapotezea.....Si mnajileta wenyewe!
Tutakufikiria..Aaa Mbona me Nina weupe wa Obama?
Vipi huna dawa niwe mweusiTutakufikiria..