Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,549
- Thread starter
- #81
Kwani wapo siku hizi????Wasiotahiriwa je?!
Kwani wapo siku hizi????Wasiotahiriwa je?!
Njoo pm nkuonyeshe languKwani wapo siku hizi????
Unaweza kusema kaungua. Hapanaaaa.wanawake wanaowapenda wazungu wa hivyo.shida tu zinawafanya wawapendee
Kwa raha zenu. Mringe tu .hata Kama sura itakuwa ngumu.Leo macheusi dawa tumekumbukwa


mko juuuWewe Mimi sina uzoefu wowoteeeee..ngoja waje. Wenye fani zaoNasikia siku hizi adada wanawinda wasio tahiriwa , Ngoja Superwomen alete uzoefu wake
..wacha uongo super woman, unakosaje uzoefu kwa mfano. Asiye mzoefu ni kigori pekee.Siwezi kufanya research kwa sababu mimi sio mzoefu
Wanakosea Sana. Hawajui thamani ya ucheusi mangalaNi kama wanawake waafrica waliojikoboa
Sanaaaaaamm ata wasipovutia napenda sana mwanaume mweusi
Afadhali maana. Sijawahi liona.Njoo pm nkuonyeshe langu



Huwa wanajituma mno. Hata kwa shughuli zote. Kiuchumi &knMwanaume mweusi ndiyo mwanaume wa shughuli,hata wanawake wa kizungu wanapenda sana.
Sina uzoefu kabisa mimi..wacha uongo super woman, unakosaje uzoefu kwa mfano. Asiye mzoefu ni kigori pekee.
hihiiii watakuja ngoja watajifunzia hapa
NA KUONGEA kwa Mapozi waacheNa manyele wanayofuga kichwani. Utafikiri wa kike.![]()
NA KUONGEA kwa Mapozi waache
Sio la kuona wote nmekupa nafasi ww kama hitaki basiAfadhali maana. Sijawahi liona.
Ila lianike hapa tu tulione woteee![]()
Yapi tenaaaaaYaleyaleeeeeeeeeeeeeeeeeee
na kuweka dawa na black aisee wanachefua ukute kavaa visuruali vyao wanaita vichupa na anavikalio halloo me siwez wabadilikeNa manyele wanayofuga kichwani. Utafikiri wa kike.
Litume ntajitahidi kuliona hata kwa lazima. Ili siku mada ikiletwa jukwaani nipate cha kusimuliaaaSio la kuona wote nmekupa nafasi ww kama hitaki basi