Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,549
- Thread starter
- #241
nawenyewe wanatusemaga hivi hivi. wanashangaa inakuaje kuaje demu/dume mzungu anasisimuliwa na dume/demu mweusi aka mwafrikaInaweza kuwa kweli dada
Manaan mm binafsi madem wakizungu hata aweje na avaaje sisimki kama dem wa kiafrica atakavyo nisisimua,
Yaani sina mzuka na wazungu kwenye ngono.
na nyie muache kujichubua na micarolyte sijui.Salaam..
Nilipokuwa mdogo.kabla sijawa mkubwa wa kujitambua nilikuwa napenda sana wanaume weupe.
Na akili za utoto tena, Nikawa nasema kwa nini baba hajawa mweupe,,
Pengine nami ningekuwa mweupe.
Tokea nimefikisha miaka kumi na mitano na kuendelea mpaka Leo.
Sijawahi kuwapenda wanaume weupe hata kidogo.
Sio kwa ubaya. Ila sina mapenzi na rangi nyeupe kabisa.
Angalau mwanaume awe na rangi ya Maji ya kunde,
Mda mwingine mpaka najiuliza vipi hawa wanawake wanawapenda wazungu??,
Ikiwa Mimi mwanaume akiwa mweupe haijalishi ni mwafrika au Mzungu si wapendi kivileee..sio kimapenzi hata kwa urafiki wa kawaida tu...
vipi wewe unavutiwa na mweupe au mweusi.
unazinguaMaji ya kunde. Kwa hiyo kwenye profile tukisema tuangalie kulingana na jinsi tulivyo. Wengine si watajikuta,akina faru john??hiyo ni profile tu

Situmiagi hata mda wa kuwaza IPO siku ntajichubua. Sina tyme na weupe. Nipo natural zaidi.na nyie muache kujichubua na micarolyte sijui.
Sizingui banaunazingua![]()
![]()
![]()
![]()
Dada.....bado unasoma maoni ya watu tu.....kweli unachokifuatilia kinakusibu sana.....poleNiumie kwa lipiii. Poleeennnn![]()
Unaweza omba dunia muachiwe wenywewe mfaidiianeMwanaume awe mrefu,mwili wa kiume alafu mweusi daaaaah!!!
Tena ukimpata mweusi halafu awe mrefu kiasi, pia #$#@@ iwe saizi pendekezwa unaenjoy sana, hahahahahahaahahah
Acheni uchokozi jamani
Yaani.mapenzi mubashara yanakuwepo haswaaaaa
Afu nahisi weusi wapo vizuri... In........
Nyie ndo wale wakurupukaji. Rudia tena huenda hujaelewaUkiwa na miaka 15 ndiyo ulianza kuvunja amri ya sita,dah ulianza mapema sana
Mkuu inaelekea umefunua funua sana eee!!!Uzuri ni kuwa, awe mweupe au mweusi, K/dick has black/dark colour. Sijawahi kuona mwafrika/ hafkasti wa kiafrika mwenye maumbile meupe, hata awe mweupe vipi.
madem wanawahi xana wengin cjin ya hapoUkiwa na miaka 15 ndiyo ulianza kuvunja amri ya sita,dah ulianza mapema sana