Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,549
- Thread starter
- #61
Ushaambiwa haijalishi .Kama wewe ni mweupe au mweusi. Hiyo kitu inakuwa black.kuna mdau hapo juuu amesema.na sio MimiNaisubiri thread ya dushe jeupe na dushe jeusi
Ushaambiwa haijalishi .Kama wewe ni mweupe au mweusi. Hiyo kitu inakuwa black.kuna mdau hapo juuu amesema.na sio MimiNaisubiri thread ya dushe jeupe na dushe jeusi
sha ha haha wabadilikeAfu wanapenda dezo hao.mpaka wanaume wenzao wanawadekea.
Utasikia. Naomba ninunulie Chakula. Anamwambia mwanaume mwenzake bila aibu.
Unakichaaa walahii.Ok, ila mimi kiukweli mapenda mdada mrefu rangi sio kigezo sana kwangu!
Nilipo jaribu kusoma andiko lako hasa kwenye kipengele cha umri wako siku zile , nikagundua kuwa huenda ulitendwa na mtu mweupe!



ulihisi. Na sio kweliLeo macheusi dawa tumekumbukwame napenda weusi yaan
Hongera. Wachache Sana..Mimi wangu mweupe ,, na haringi nampenda sana,, he is so handsome
Unaweza kusema kaungua. Hapanaaaa.wanawake wanaowapenda wazungu wa hivyo.shida tu zinawafanya wawapendeeWeupe chenga, kuna wanaoitwa wazungu meupe unaona ngoz km ina damu damu utahisi limechapwa fimbo. Black z beauty
Yaani wanavutia mnoooooooome napenda weusi yaan
NtajitahidiHaisaidii bora upendo kuliko chuki
Kwani siku hizi kuna mikono ya swetaaa??Hahahahaha sio mkono wa sweta na
Nasikia siku hizi adada wanawinda wasio tahiriwa , Ngoja Superwomen alete uzoefu wakeWasiotahiriwa je?!
Ivi unaanzaje kwanza. Kitu black bana...Na mwanaume utakuwaje mweupe bana! Ili iwe nini?
hahahhahLeo macheusi dawa tumekumbukwa
tehHaya napita
mm ata wasipovutia napenda sana mwanaume mweusiYaani wanavutia mnoooooooo
sha ha haha wabadilike



hihiiii watakuja ngoja watajifunzia hapa