Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,660
- 7,948
Mara nyingi hutokea.
Binti mweupe anavutiwa na kijana mweusi.
Kijana mweusi anavutiwa na binti mweupe
Binti mweusi anavutiwa na kijana mweupe
Kijana mweupe anavutiwa na binti mweusi
Unakuwa kama vile unaikinai rangi yako na kutaka rangi unayoimisi
Mtoa mada anaonekana ni binti mweupe.
Je wewe ni rangi gani na unavutiwa na rangi gani ?
Aiseeeeh,
Ulivyoandika , nasoma hadi nahisi Kichwa kinazungukazuka.
Any way, mi ni Mwanume, black kiasi navutiwa na chocolate. (Ila tayari ninaye kutoka Tanga Line Raha kwa hiyo. sina haja tena ya mwingine tuelewane wajeni)