Damian Godifrey Chami
Member
- Sep 13, 2017
- 52
- 21
Mbona Me sipendwi au Me mweupe???????????
Kumbe tuko wengi nilijuaga ni mimi
peke yangu
Mweusi halafu awe na kifua flan hv amaizing kabisa
Mwanaune awe mweusi alafu mrefu na mwili wa kiume aisee unaweza jikuta unalowa pichu bila kutarajia.
shenzi kweli weweAlaf kwekunduuuuuuWeusi wa motoo
Lipi? Kuwa huru.Mwanaume mweusi is everything. . Mwanaume akiwa mweupe namuonaga Kama ana tatizo hivi
AhsanteHeshima kwenu wakuu
Kama nilivyotangulia kusema najikuta mtumwa wa wanaume weusi nikimaanisha mwanaume mswahili lakini mwenye ile rangi ya weusi
Alitokea mwaume mmoja akanipenda sana kipind cha nyuma lakini alikuwa mweupe me sikumpenda hata kidogo
na huwa ikitokea hata kama nimekaa sehemu akapita mwanaume mweusi mrefu kidogo lazima nitamwangalia tu, ofisini pia vivyo vivyo nitamwangalia kwa umakini na nitamuhudumia kwa upendo kabisa tofauti na mwanaume mweupe
Hawa watu huwa wananivutia sana for sule
heshima kwenu wote wanaume weusi
Labda avatar yako mkuuMbona Me sipendwi au Me mweupe???????????