Wanaume weusi,kiugonjwa kinachonitesa

Wanaume weusi,kiugonjwa kinachonitesa

Mno! Kipindi bado sijaolewa kuna mbunge mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi fulani fulani, alikuwa na marafiki wengi sana wakizungu, mmoja akatokea kunidondokea, na mwisho akataka kunioa kabisa anipeleke kwa Bushi enzi zile. Japo ilikuwa fursa nzuri sana kimaisha ila niliamua tu inipite, kwasababu nina uhakika 100% ile ndoa ingenitesa sana kwenye suala zima la kitandani, ningekua mchepukaji sugu kwasababu mi nikiwa na mtu mweupe sipati hata zile hisia za uongo na kweli.

Marafiki walinisema sana kwamba nachezea bahati lakini mwenyewe nilijua ambacho kingenipata.

Ila wanaume weupe msione tunawabagua, kuna wengine wanawapenda sana.
Binti kiziwi kama nakujua hivii.....

Ila hata mm napenda mwanamke rangi ya chocolate...hatari sana
 
Heshima kwenu wakuu
Kama nilivyotangulia kusema najikuta mtumwa wa wanaume weusi nikimaanisha mwanaume mswahili lakini mwenye ile rangi ya weusi

Alitokea mwaume mmoja akanipenda sana kipind cha nyuma lakini alikuwa mweupe me sikumpenda hata kidogo

na huwa ikitokea hata kama nimekaa sehemu akapita mwanaume mweusi mrefu kidogo lazima nitamwangalia tu, ofisini pia vivyo vivyo nitamwangalia kwa umakini na nitamuhudumia kwa upendo kabisa tofauti na mwanaume mweupe
Hawa watu huwa wananivutia sana for sule
heshima kwenu wote wanaume weusi
Viva black
 
Weka picha mkuu.
 
Huu uzi Jamani,, pana jamaa mwenye amekuwa na right skin color ati kwa kunywa maji mengi eti na kushinda kwenye kiooo.

Sijjui yuko hii mitaa iitwayo tollywood au bungemovies au bongomovies,, mtasababisha apoteze mwelekeo!!

Maana, alikuwa na vigezo vilivyotajwa hapa ili hadi sasa hana tena vigezo viwe vya black, au right skin color
 
Kumbe ndyo maana mtoto wa kiarabu alidata kwa mniga hapa. Alfu kbya zaid wanawake weupe sana huwa naawachoka mapema sana.
Mi mwenyewe napenda black na awe kanyoa kiduku.
 
Njoo niko mimi mweusi tii ka nimepinduka na gari la kiwi kudadadek
 
Back
Top Bottom