Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,605
Duh sisi weupe tunapendwaga na wabaya wabaya
Duh basi sawaMwanaune awe mweusi alafu mrefu na mwili wa kiume aisee unaweza jikuta unalowa pichu bila kutarajia.
Wasalimie hukoNapita mie pole pole na kimnyaaaaaaaaaaa...lol
Sio wanaume tuu hata wanawake weusi.Heshima kwenu wakuu
Kama nilivyotangulia kusema najikuta mtumwa wa wanaume weusi nikimaanisha mwanaume mswahili lakini mwenye ile rangi ya weusi
Alitokea mwaume mmoja akanipenda sana kipind cha nyuma lakini alikuwa mweupe me sikumpenda hata kidogo
na huwa ikitokea hata kama nimekaa sehemu akapita mwanaume mweusi mrefu kidogo lazima nitamwangalia tu, ofisini pia vivyo vivyo nitamwangalia kwa umakini na nitamuhudumia kwa upendo kabisa tofauti na mwanaume mweupe
Hawa watu huwa wananivutia sana for sule
heshima kwenu wote wanaume weusi
Typing errorFor sule.
Mwanaune awe mweusi alafu mrefu na mwili wa kiume aisee unaweza jikuta unalowa pichu bila kutarajia.

DuhMwanaune awe mweusi alafu mrefu na mwili wa kiume aisee unaweza jikuta unalowa pichu bila kutarajia.
USAF n muhimuMwanaune awe mweusi alafu mrefu na mwili wa kiume aisee unaweza jikuta unalowa pichu bila kutarajia.
Mno! Kipindi bado sijaolewa kuna mbunge mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi fulani fulani, alikuwa na marafiki wengi sana wakizungu, mmoja akatokea kunidondokea, na mwisho akataka kunioa kabisa anipeleke kwa Bushi enzi zile. Japo ilikuwa fursa nzuri sana kimaisha ila niliamua tu inipite, kwasababu nina uhakika 100% ile ndoa ingenitesa sana kwenye suala zima la kitandani, ningekua mchepukaji sugu kwasababu mi nikiwa na mtu mweupe sipati hata zile hisia za uongo na kweli.Asante kumbe tunapendwa..