Ndo kusema unanisema nini we ndahani?
ni kwa sababu muumini ni mtajiHii kauli practical yake imewashinda hata viongozi wa dini..........! Siku hizi wanakubali tu kubariki ndoa aiseeeeeeee!
Hii kauli practical yake imewashinda hata viongozi wa dini..........! Siku hizi wanakubali tu kubariki ndoa aiseeeeeeee!
Uzoefu unaongezeka kadri tunavyogundua mambo karibu yote chini ya jua yanafanana fanana. Umri una mchango mkubwa kwa hilo.
Kama ni wewe, please kamuombe msamaha uliyemchezea feelings zake...
Unwezaje kugawa penzi kabla ya ndoa?
Huyo mwanamke alikuwa anafuata maadili ya wapi?
Hiyo mbona haijamtosha!!
Wala, sinaga hiyo tabia isitoshe kaumri kameshaendaga zake. Kwa nguvu zipi za kungojea 'kishtobe' kmiaka mitatu aiseeeee!
....
Mdada anadai kuwa kuna mwanaume aliyemtongoza kwa miaka
mitatu. Katika muda wote huo, hakuwa tayari kumkubalia. Lakini ni
mwezi wa jana tu (january 2013) aliamua kwa dhati kabisa kuwa ni wakati
muafaka 'amtulize' huyo kaka kwa kumvulia chupi akiamini kuwa kweli
anampenda na angekuwa mume wa ukweli kwake......
Mkuu kuna ukweli hapo hasa ukizingatia ile maneno ya 'tear and wear' kwa hakika kwa kina dada hili hutokea kwenye mahusiano. Unadhani kwa nini dowry ya binti mbichi na yule alokwisha zaa iko tofauti? Na usisahau kale kausemi ka 'kifuani saa sita', kana maana sana mkuu! Embe dodo liloivia mtini na likaanguliwa bila kugusa ardhi bei yake ni kuwa kuliko lilopondeka, ebo!
Kwa kauli ya dhati kabisa nimeona niliseme hili baada ya
kuumia moyoni niliposhuhudia manung'uniko na huzuni za shosti
mmoja alipokuwa akibubujikwa na machozi ya 'damu' kwa
mwenzake juu ya alichotendewa na mwanaume aliyedhani
alikuwa na mapenzi ya kweli kwake.
Mdada anadai kuwa kuna mwanaume aliyemtongoza kwa miaka
mitatu. Katika muda wote huo, hakuwa tayari kumkubalia. Lakini ni
mwezi wa jana tu (january 2013) aliamua kwa dhati kabisa kuwa ni wakati
muafaka 'amtulize' huyo kaka kwa kumvulia chupi akiamini kuwa kweli
anampenda na angekuwa mume wa ukweli kwake.
Cha ajabu, tokea walipofanya mapenzi, wiki moja baadae mwanaume
alimuandikia meseji kwa simu kuwa hamhitaji tena. Dada wa watu
anashangaa na hajui ana kasoro gani, kwani kama alikuwa hampendi
iweje aliweza 'kumfukuzia' kwa muda wote wa miaka 3?
Ushauri: Jamani wanaume, tuacheche kucheza na hisia za ladies,
tabia kama hizi zinasababisha wanawake kufanya maamuzi
yatakayowakosesha wenzi wa maana! Tuache kucheza
na hisia za hawa viumbe.
That is another case.Na je angekubali aolewa.
Halafu huyo kaka hapendi na wala
hajisikii kabisa kufanya mapenzi na yeye,??
suluhisho hapo ni nini??
Kwani anayesababisha sisi wanawake tunazaa ni nana? si nyinyi wanaume? na kabla ya hapo wewe mwanaume ndiyo unaanza kunyonya mpk mtoto anapatikana, na baada ya mtoto kupatikana mnanyonya wote, mtoto ataacha kunyonya wewe jitu zimaa unaendelea kunyonya manyonyo mpk kifo chetu, halafu unasema yamepondeka. aliyesababisha kupondeka ni nani? Tafadhali , tafadhali naomba utuombe radhi wanawake .
That is another case.
Hii kauli practical yake imewashinda hata viongozi wa dini..........! Siku hizi wanakubali tu kubariki ndoa aiseeeeeeee!
Ni kweli nikiwa kama mwanamke, na nyinyi wanaume ndiyo mnasababisha yapondeke, halafu unakuja unasemaje -----??Pole mkuu Lisa, naona hili la KUPONDEKA PONDEKA kwa nanihiii... Limekugusa kweli!