Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,128
- 2,452
NI vizuri huyo dada ajifunze. ni kweli hua wadada wanajifikiria kwa upande wao tu, mimi nadhani huyo dada alikua na mtu ndo mana alikua anambania mshkaji sasa kaachika ndo anamvulia chupi, naona tena ni vizuri mshkaji kasepa coz huenda huyo dada hampendi, kama kweli alikua nanampenda asingesubiri mda wote huo ili amkubalie.. na akina dada msije ukadhani kumzungusha mtu mda mrefu ndo et unampima wanaume nao wanaangalia.. miaka yote hiyo unadhani hatakua na mtu anakusubiri tu wewe?.. kama unampenda mtu kubaliana nae... IF U WANT TO WIN THE GEM OF LOVE PLAY IT......