Wanaume wenzangu msitume nauli

Wanaume wenzangu msitume nauli

Wajinga ndio waliwao. Hakuna namna acha mlizwe
 
WANATUTUMIA SANA HAHAHA WEE TU NA ROHO YAKO TENA ZA TAXI NA SISI TUNAPANDA BODABODA
Mkuu kama unafika eneo la tukio mimi sina shida na wewe. Nawasema wale ambao wanalamba mpunga lkn hawafiki eneo la tukio
 
Ni wajanja hawa unashangaa scania hadi mombasa aunaambiwa elfu 25 kumbe 2000 tu hiyo nyingine wanagawa na dereva toyo
Kumbe ndio zako hivi bonny unamjua unamskia anajijua mwenywe
 
Back
Top Bottom