Wanaume wenzangu msitume nauli

Wanaume wenzangu msitume nauli

HATA LEO KUNA PUNGA LIMENITUMIA NAULI YA KWENDA MORO NIMEMTAPELI NTAFIKA IJUMAA JION WAKATI IJUMAA NINA ODA ZA WATEJA ZANGU HUMU KWENYE JIJI LA BASHITE............. ZA VITENGE NA SNICKERS HAHAHA NIMEONGEZEA KWENYE MTAJI NIMEPATA PEA MBILI AMBAZO NITAPATA FAIDA YA 20 ELFU ............. SIPATI PICHA ATAVYOHANGAIKA KUNIPIGIA SIMU AMBAYO NI YA OFISI AMBAZO KUANZIA IJUMAA JIONI HUWA TUNAZIZIMA 😀😀😀😀
Kumbe ndiyo zako. Nakuambiaaga unataka kunirubuni tu then unidump huko. Tuache kuchunguzana hii inatosha
 
Utapigwa parefu labda kama unabodaboda wako.
Wanabodaboda zao sehemu za buku wakija wanaongeza 5000 juu... utaskia foleni ilikuwa refu tukazungukia njia ya kwa mtogore
Mfano Ubungo to Mwenge Boda boda elf 15 Shunie mungu anakuona ujue
 
HATA LEO KUNA PUNGA LIMENITUMIA NAULI YA KWENDA MORO NIMEMTAPELI NTAFIKA IJUMAA JION WAKATI IJUMAA NINA ODA ZA WATEJA ZANGU HUMU KWENYE JIJI LA BASHITE............. ZA VITENGE NA SNICKERS HAHAHA NIMEONGEZEA KWENYE MTAJI NIMEPATA PEA MBILI AMBAZO NITAPATA FAIDA YA 20 ELFU ............. SIPATI PICHA ATAVYOHANGAIKA KUNIPIGIA SIMU AMBAYO NI YA OFISI AMBAZO KUANZIA IJUMAA JIONI HUWA TUNAZIZIMA 😀😀😀😀
Hahahaaaaa mkuu kuwa na huruma kidogo
 
Back
Top Bottom