Wanaume wenzangu msitume nauli

Wanaume wenzangu msitume nauli

Ni wajanja hawa unashangaa scania hadi mombasa aunaambiwa elfu 25 kumbe 2000 tu hiyo nyingine wanagawa na dereva toyo
Ha ha ha ha amejaa vumbi mwili mzima unauliza hyo tax ilikua haina AC shuhula mvua inyeshe
 
Mkuu kama unafika eneo la tukio mimi sina shida na wewe. Nawasema wale ambao wanalamba mpunga lkn hawafiki eneo la tukio
HATA LEO KUNA PUNGA LIMENITUMIA NAULI YA KWENDA MORO NIMEMTAPELI NTAFIKA IJUMAA JION WAKATI IJUMAA NINA ODA ZA WATEJA ZANGU HUMU KWENYE JIJI LA BASHITE............. ZA VITENGE NA SNICKERS HAHAHA NIMEONGEZEA KWENYE MTAJI NIMEPATA PEA MBILI AMBAZO NITAPATA FAIDA YA 20 ELFU ............. SIPATI PICHA ATAVYOHANGAIKA KUNIPIGIA SIMU AMBAYO NI YA OFISI AMBAZO KUANZIA IJUMAA JIONI HUWA TUNAZIZIMA 😀😀😀😀
 
Kama demu hujawahi mkaza hata mara moja usimtumie nauri ili aje. Nimepokea malalamiko toka kwa wadau kibao kuwa mademu wengi siku hizi wanaomba watumiwe nauri lakini wakishatumiwa hawafiki eneo la tukio. Watasingizia visababu kibao vya kijinga.
mimi kama mwenyekiti wa WWI ( wazee wa importation) nimechoka kusuruhisha migogoro ya aina hii kwa hiyo nasema, "usitume nauri kwa manzi aliyembali kama hujawahi kumkata hata mara moja".

Ni hayo tu.
NAURI-NAULI
Jifunze kwanza kiswahili halafu urudi hapa
 
Back
Top Bottom