Wanaume wenzangu msitume nauli

Wanaume wenzangu msitume nauli

Dah kumbe tuliopigwa tuko wengi. Mwaka jana december nililiwa hela ya ticket ya fast jet toka Arusha kuja Dar, mpaka leo hajafika Dar na simu yake haipatikani tena japo namfahamu vizuri mpaka anapofanyia kazi. Nimeuchuna japo naumia ndani kwa ndani
Pole mkuu. We uchune tu ndo uanaume huo.
 
Kama demu hujawahi mkaza hata mara moja usimtumie nauri ili aje. Nimepokea malalamiko toka kwa wadau kibao kuwa mademu wengi siku hizi wanaomba watumiwe nauri lakini wakishatumiwa hawafiki eneo la tukio. Watasingizia visababu kibao vya kijinga.
mimi kama mwenyekiti wa WWI ( wazee wa importation) nimechoka kusuruhisha migogoro ya aina hii kwa hiyo nasema, "usitume nauri kwa manzi aliyembali kama hujawahi kumkata hata mara moja".

Ni hayo tu.
WANATUTUMIA SANA HAHAHA WEE TU NA ROHO YAKO TENA ZA TAXI NA SISI TUNAPANDA BODABODA
 
Back
Top Bottom