Jodeo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 1,286
- 1,332
Shunie, ni Facebook ipi kuna Hao wanaotumiwa nauli?wajinga hawaishi acha watumiwe nauli hakuna namna na huko Facebook kwenu wengi mnapigwa kwa style hizo
Shunie, ni Facebook ipi kuna Hao wanaotumiwa nauli?wajinga hawaishi acha watumiwe nauli hakuna namna na huko Facebook kwenu wengi mnapigwa kwa style hizo
Magu kabana siku hiziAtafutae hachoki hata akichoka anakuwa keshapata, tuma tena
Sometime unakuwa real kama huna unapiga kimyaMagu kabana siku hizi
YeahSometime unakuwa real kama huna unapiga kimya