Wanaume wenzangu msitume nauli

Wanaume wenzangu msitume nauli

Wanawake Wezi. Mitandaoni Humu Wacha Kabisa. Mimi Mmea Ukiambia Niko Bunju Namm Nauambia Niko Bunju. Ukisema Niko Chalinze Na Mm Nko Huko Huko. Ukisema Nipo Kisarawe Sijui Boko Sijui Vikindu Namm Hukohuko. Maana Wanafanyaga Ivyo Makusudi Ili Hata Ela Ya Nauli Iwe Kubwa. Nikimuambia Niko Huko Huko Utaskia "Poa My Baadae" Hakujibu Tena Koz Anajua Hapo Amna Cha Kutumiana Nauli. Wengine Unajua.Wako Dar Ila Wanakuambia Niko Mkoa Naww Unasema Niko Hukohuko Utaskia Ila Nimekuja Mara Moja Kesho Naondoka. Hahaha Such Fools. Lazma Uwe Master Tactician Kama Conte Au Guardiola Kuwaelewa.n
 
Msipende kutongoza wanawake wasio na kazi.

Ndio maana wanaomba nauli.

Tafuta mwenye usafiri wake atakuja na Wala hakuombi hela ya Mafuta.

Shubaaamit!!!!
Weee kuna mmoja alinambia kabisa nimuwekee full tank kwenye vitz ndo aje.
 
Best way ni kuibuka karibu na kwao ili yeye atembee aje kwenye shughuli husika,

Au akope huko then utam-refund akifika kwako.
 
Kama demu hujawahi mkaza hata mara moja usimtumie nauri ili aje. Nimepokea malalamiko toka kwa wadau kibao kuwa mademu wengi siku hizi wanaomba watumiwe nauri lakini wakishatumiwa hawafiki eneo la tukio. Watasingizia visababu kibao vya kijinga.
mimi kama mwenyekiti wa WWI ( wazee wa importation) nimechoka kusuruhisha migogoro ya aina hii kwa hiyo nasema, "usitume nauri kwa manzi aliyembali kama hujawahi kumkata hata mara moja".

Ni hayo tu.
Mkuu finally umeamua kuwasemea wahanga wengi wa hili. Kuongezeka kwa social networks imewafanya wanawake wabuni njia mpya ya kujiingizia fedha bila usumbufu na ukata huu we acha tu, mbumbumbu wa mapenzi wanaliwa sana. Ukienda badoo, tango, bongo five, facebook na mingineyo kumtongoza demu na kukubaliwa ni kawaida sana ila jiandae kutolewa fedha kupitia njia ya nauli ili akufuate ulipo hahaha
 
Kweri kabisa. Hiri swara razima uwe makini. Nauri sio ya kutuma. Razima utumie akiri.

Wamekua wajanja sana rakini dawa yao ipo jikoni inachemka. Raramiko rangu ni kwamba mreta mada apunguze kutumia ra ra ra kira kwenye neno nauri..
 
Kuna mwanamke nimemtongoza mda mrefu ananizungusha. Jumapili iliyopita kaniambia nimlushie nauri nikamtumia elf kumi na tano yeye anakaa tegeta, mzee mzima nimemsubili iyo jumapili ajatokea nampigia cm apokei. Nikaona isiwe tabu nikaenda kwawakala nilipolushia ela nikawambia nimekosea namba naomba iyo ela niloyotuma iludi. Nikaludishiwa ela yangu nikafuta na namba yake. Sipendi ujinga
Ha ha haa ...amekimbia mkojo
 
Ww endelea kujifanya mjinga mtumie ......tu ....siku akiingia kingi unakula (unatatua rinda) mpaka jicho
 
Unatuma nauli zaidi ya 50 demu akija kula, kulala na kumtoa kidogo jumla zaidi ya laki!! Wakati hiyo laki hapo ulipo unaweza gonga demu wa maana sana tu. Acheni uvivu wa kutongiza
 
Je ukiwa ulishamkata, na anataka nauli harafu hakuja hapo inakaaje?

Mi nafikiria mfumo mzuri akope aje aliwe harafu alipwe
 
sawa mkuu tumekuelewaa ila wambie waache kuomba na hela ya saloon kila meeting
 
Unatuma nauli zaidi ya 50 demu akija kula, kulala na kumtoa kidogo jumla zaidi ya laki!! Wakati hiyo laki hapo ulipo unaweza gonga demu wa maana sana tu. Acheni uvivu wa kutongiza
Mkuu upo sahihi kabisaa huwa tunahangaika kuwagharamia wa mbali wakat unaweza kumpata wa karibu ukaepuka gharama kubwa
 
Unatuma nauli zaidi ya 50 demu akija kula, kulala na kumtoa kidogo jumla zaidi ya laki!! Wakati hiyo laki hapo ulipo unaweza gonga demu wa maana sana tu. Acheni uvivu wa kutongiza
Mkuu upo sahihi kabisaa huwa tunahangaika kuwagharamia wa mbali wakat unaweza kumpata wa karibu ukaepuka gharama kubwa
 
Back
Top Bottom