Wanaume wenzangu msitume nauli

Wanaume wenzangu msitume nauli

Sasa huo ubahili tu au chapaa huna usije ukawapeperushia wenziio ndege wao ,kila mbuzi ale urefu wa kamba yake bhana
 
duu watu mnamoyo mademu wa mbali mnawatumia mpaka nauli kwa ajili ya one night stand
 
Kama demu hujawahi mkaza hata mara moja usimtumie nauri ili aje. Nimepokea malalamiko toka kwa wadau kibao kuwa mademu wengi siku hizi wanaomba watumiwe nauri lakini wakishatumiwa hawafiki eneo la tukio. Watasingizia visababu kibao vya kijinga.
mimi kama mwenyekiti wa WWI ( wazee wa importation) nimechoka kusuruhisha migogoro ya aina hii kwa hiyo nasema, "usitume nauri kwa manzi aliyembali kama hujawahi kumkata hata mara moja".

Ni hayo tu.
Wasichana wa sasa ni ombaomba kuliko matonya,
 
Kuna mwanamke nimemtongoza mda mrefu ananizungusha. Jumapili iliyopita kaniambia nimlushie nauri nikamtumia elf kumi na tano yeye anakaa tegeta, mzee mzima nimemsubili iyo jumapili ajatokea nampigia cm apokei. Nikaona isiwe tabu nikaenda kwawakala nilipolushia ela nikawambia nimekosea namba naomba iyo ela niloyotuma iludi. Nikaludishiwa ela yangu nikafuta na namba yake. Sipendi ujinga
Elf 15 kutoka tegeta kwenda wapi?? Hapa hapa town 15 kubwa sana
 
Elf 15 kutoka tegeta kwenda wapi?? Hapa hapa town 15 kubwa sana
Me nakaa ubungo makoka. Hiyo ela niliyomlushia pamoja na malipo yake kama angekuja nisingempa ela nyingine ndio tungekua tumemalizana ivyo.
 
Hawataki. Wanataka uwatumie pesa, na sio Ticket au namba ya kiti
Kama hawataki namba ya tiket wasije wakae kwao tu washenzi wakubwa hao!kuna mmoja alitaka nauli nkamuambia kuna gari la kazini linakuja dar nakupa namba uje na lift akagoma,nikamuambia kuna pilot wa wageni ana nafasi moja nenda airpot akagoma,nami nilikuwa nampima tu hakuna hayo yote nikajua anataka pesa aingie mitini!
 
Ishawahi kunitokea miaka hiyo .

Nilikuwa Nina ugwadu balaa

Demu akaniambia nimtumie nauli nikajikung'uta nikatoa 30k

Siku ya kukutana akaanza kuleta vijisababu ooooh wazazi wamenizuia ooooh sijui nini

Pumbavu nilimaindi kichizi na mpunga wangu ulishaenda kagoma kuurudisha

Akili ikakaa sawa since then situmi nauli

Nawaambia njoo nitakurudishia nauli ukifika
 
Me nakaa ubungo makoka. Hiyo ela niliyomlushia pamoja na malipo yake kama angekuja nisingempa ela nyingine ndio tungekua tumemalizana ivyo.
Hahahahaha sasa wewe unalipa kabla haujapewa Huduma? Tegeta to Makoka hata buku mbili haiishii, Mimi kuna mzigo nilikuwa napiga unatoka chalinze to Makoka 7000 tu inatosha
 
Ishawahi kunitokea miaka hiyo .

Nilikuwa Nina ugwadu balaa

Demu akaniambia nimtumie nauli nikajikung'uta nikatoa 30k

Siku ya kukutana akaanza kuleta vijisababu ooooh wazazi wamenizuia ooooh sijui nini

Pumbavu nilimaindi kichizi na mpunga wangu ulishaenda kagoma kuurudisha

Akili ikakaa sawa since then situmi nauli

Nawaambia njoo nitakurudishia nauli ukifika
Hahahahah unamwambia kopa kwa mwenzio nitakurudishia
 
Hahahahaha sasa wewe unalipa kabla haujapewa Huduma? Tegeta to Makoka hata buku mbili haiishii, Mimi kuna mzigo nilikuwa napiga unatoka chalinze to Makoka 7000 tu inatosha
Hahahaha mkuu hawa viumbe inatakiwa uongo mwingi ndio unawapata. Nilijua nikimtumia iyo ela atakuja fasta
 
Hahahahah unamwambia kopa kwa mwenzio nitakurudishia
YEAAAAAAAAAAAAAAP, maelekezo ya kiume hayo. Kuna mmoja niliwahi kumwambia, nishawishi ukiwa mtupu ili niulazimishe mkono wangu ukupe kilicho mfukoni.
 
YEAAAAAAAAAAAAAAP, maelekezo ya kiume hayo. Kuna mmoja niliwahi kumwambia, nishawishi ukiwa mtupu ili niulazimishe mkono wangu ukupe kilicho mfukoni.
hatari sana mambo ya kutuma nauli mapema unaliwa kijinga
 
Back
Top Bottom