Wanaume wenzangu msitume nauli

Wanaume wenzangu msitume nauli

Mkuu siku nyingine nenda tu pale shekilango kalipie ticket darexpress au klm express
kwenda ugenini nako kifuata demu hata hamjuani vizur inatka unasiri wa hali ya juu... then nkienda deals zitalala. ila mwanaume ukitapeliwa na demu roho inauma saaaana daaaaaaaaaaahhhh.. shkamooni mademu wa mjini
 
nlituma 57500 mtoto atoke arusha aje dar ila kifika asubuh napiga simu haipatikani.. baada ya kama mwezi hvi demu akantafuta eti excuse yake ni kwamba baba na mama ake walipigana akashindwa kutoka.. mzee nlijaa povu nkifikiria ile 57 ningeruka kuanzia friday to saturday.. mademu wanaishi kwa ujanja ujanja saaaana
pole kwa kweli
 
Hahahahahaha duu aisee mkuu iyo juzi juzi tu imemtokea rafiki angu demu kamtumia nauri aje airport toka buza jamaa katuma nauri demu hajatokea jamaa leo siku ya saba analalamika
Wezi balaa. Njaa zinawasumbua sana
 
Kuna mwanamke nimemtongoza mda mrefu ananizungusha. Jumapili iliyopita kaniambia nimlushie nauri nikamtumia elf kumi na tano yeye anakaa tegeta, mzee mzima nimemsubili iyo jumapili ajatokea nampigia cm apokei. Nikaona isiwe tabu nikaenda kwawakala nilipolushia ela nikawambia nimekosea namba naomba iyo ela niloyotuma iludi. Nikaludishiwa ela yangu nikafuta na namba yake. Sipendi ujinga
Huyo nae anauzembe wa asili tu, yani kapokea hela halafu anajua fika hatokuja na bado hajaitoa kwa simu au ndio alikua na nauli nyingi aliwaliza watu. Pole yake
 
Huyo nae anauzembe wa asili tu, yani kapokea hela halafu anajua fika hatokuja na bado hajaitoa kwa simu au ndio alikua na nauli nyingi aliwaliza watu. Pole yake
Itakua ivyo! au kwenye akaunti yake ilikua na ela nyingi
 
Kweli kabisa kutuma nauli ni moja ya zoezi gumu sana kwa sasa.Labda kama nilishapiga mzigo najua hata nikituma nauli akila nilishachapa siyo kesi
 
Kweli kabisa kutuma nauli ni moja ya zoezi gumu sana kwa sasa.Labda kama nilishapiga mzigo najua hata nikituma nauli akila nilishachapa siyo kesi
Kabisa. Sio mmekutana fb tu mtu anakomaa. eti ''bby nitumie nauri mapema ili niwahi kuja". Wakati hata sijamtongoza bado ashaanza kuniita bby. Anafikiri akiniita baby ndo ntapagawa!
 
kwenda ugenini nako kifuata demu hata hamjuani vizur inatka unasiri wa hali ya juu... then nkienda deals zitalala. ila mwanaume ukitapeliwa na demu roho inauma saaaana daaaaaaaaaaahhhh.. shkamooni mademu wa mjini
Inauma sana sababu unakuwa umepoteza vitu viwili kwa mpigo! Nauli uliyotuma na mgegedo umeukosa pia
 
Acha hiyo wewe unajitia mchumi sana unamfungia safari mwenyewe mpaka huko madabira ukifika demu anakuambia yupo mwezini lazima unywe maji mengi apo!
Hahaaaa hapo lazima nikague kama kweli. Siwezi danganywa kiboya.
 
Dah kumbe tuliopigwa tuko wengi. Mwaka jana december nililiwa hela ya ticket ya fast jet toka Arusha kuja Dar, mpaka leo hajafika Dar na simu yake haipatikani tena japo namfahamu vizuri mpaka anapofanyia kazi. Nimeuchuna japo naumia ndani kwa ndani
Mkuu toa pasi ndefu nijisevie fasta
 
Msipende kutongoza wanawake wasio na kazi.

Ndio maana wanaomba nauli.

Tafuta mwenye usafiri wake atakuja na Wala hakuombi hela ya Mafuta.

Shubaaamit!!!!
 
Back
Top Bottom