Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,839
hahahahahah pole sana mkuuHahahaha mkuu hawa viumbe inatakiwa uongo mwingi ndio unawapata. Nilijua nikimtumia iyo ela atakuja fasta
hahahahahah pole sana mkuuHahahaha mkuu hawa viumbe inatakiwa uongo mwingi ndio unawapata. Nilijua nikimtumia iyo ela atakuja fasta
Hahaaaahaa....Visa vipo vingi....demu mnaelewana kabisa yupo Namtumbo huko....mnakubaliana vizuri lkn akishapata tu msg simu inapotea hewani
umeisoma ee?NAURI sioo......basi sawa.
Nimeisoma mkuu japo kimyakimyaaumeisoma ee?

Ahsante kwa kuunga mkono hoja.Upo sahihi Mwenyekiti wa WWI
Pole mkuuKuna mmoja alikula laki yangu hadi Leo naifikiriaga tu japokuwa imepita miaka mitatu ila nilijifunza
Kuna demu nimemtumia nauli leo ili aje maeneo ya ilala ili tukuch kuch mpaka muda huu hajajaKama demu hujawahi mkaza hata mara moja usimtumie nauri ili aje. Nimepokea malalamiko toka kwa wadau kibao kuwa mademu wengi siku hizi wanaomba watumiwe nauri lakini wakishatumiwa hawafiki eneo la tukio. Watasingizia visababu kibao vya kijinga.
mimi kama mwenyekiti wa WWI ( wazee wa importation) nimechoka kusuruhisha migogoro ya aina hii kwa hiyo nasema, "usitume nauri kwa manzi aliyembali kama hujawahi kumkata hata mara moja".
Ni hayo tu.
Ndo zao mkuu. ni washenz wa tabiaKuna demu nimemtumia nauli leo ili aje maeneo ya ilala ili tukuch kuch mpaka muda huu hajaja
Sasa hivi ananiambia amepatwa na dharura
Asante mkuu.hahahahahah pole sana mkuu
Kabisa mbanekwel kabisa Hakuna kutuma NAURI MURAA!!
Ni shida hasa!Ujana una shida sana
Kama demu hujawahi mkaza hata mara moja usimtumie nauri ili aje. Nimepokea malalamiko toka kwa wadau kibao kuwa mademu wengi siku hizi wanaomba watumiwe nauri lakini wakishatumiwa hawafiki eneo la tukio. Watasingizia visababu kibao vya kijinga.
mimi kama mwenyekiti wa WWI ( wazee wa importation) nimechoka kusuruhisha migogoro ya aina hii kwa hiyo nasema, "usitume nauri kwa manzi aliyembali kama hujawahi kumkata hata mara moja".
Ni hayo tu.


unajikuta mzee demu mwenyewe hata hujawahi kumwona umedata tu na sauti kwenye simu. . . Fasta mwanangu unakopa hela kwa mshikaji unatuma nauli afu simu inazimwa. . . Unabaki umekodolea simu mimacho unasubiri kama atakupigia walau aseme nimepata. Kimyaa



Atafutae hachoki hata akichoka anakuwa keshapata, tuma tenaKuna demu aliniomba nauli aje songea ye anakaa morogoro nilivomtumia ndio ikawa mwisho wa mawasiliano.... Ikapita miez 3 akanitafuta tena na kuleta visingizio visivo na kichwa wala miguu kisha akasema nimtumie tena saiv yuko free atakuja
ITAENDELEA